Oeni tuje vaa vijora sieIt's comrade, a.k.a The man himself! A.k.a Mfalme wa Nyika, Namba 9 mgongoni mshambuliaji hatari.
Ni kwa Mara nyingne teeena mbele ya upeo wa mboni yako, ninarindima hapa jamviniii
Anaandika KIPEPE....
******-
Aseeee nipo kitandani hapa mida hiii nawaza umri unasonga natamani namimi nipate mke aseee
Mtanda wote huuu sita kwa sita najibilingilisha tuu mithili ya panya aliekunywa sumuuuu, ungekuta midaa hiii nipo na mke halali hapa tunayajenga yetu ya familia..
Duuuuh asee tuoeni vijana tuache uzinzi yani Mimi nikipata wife material naoaaaaa, kama una unaempenda oaneni tuu msisubirie sana halalisheni ndoa na Mungu awabariki sanaaaa
Ohhoooo
Ndiio mwisho hapooo
Fyaaaaa kama Bomu la nyukliaaa yuleeeeeeee
akili za wabongo hizi nuksiKuwa makini bwana Mdogo, ndoa sio kujiviringisha kwenye kitanda na kucheza kachiri sagaView attachment 1139731
mi nadhani usiempenda ukimuoa atachokufanya Hutotamani hata kuja fungua ThreadDawa ya mwanamke husiyempenda ni kumuoa.
Bonge la message aiseeShauri zenu, tutaanguka!!View attachment 1140813
ndio mana sipeleki dem nyumbani kwangu...yule ninae hisi nampenda kupita maelezo ntampeleka hotel safiiiiii yenye hadhi yake...Akianguka namuacha hapo nafanya utaratibu mwingine wa kuhama nchi.Shauri zenu, tutaanguka!!View attachment 1140813
Sema hivi mwanamke akiwa bwege ndo ndoa inadumu kuna mwanaume anakubali kuwa bwege kwenye ndoa kweli?Siharakie maisha..... Ndoa za Sasa ukiwa bwege ndo mnadumu
Na hilo ndo tatizo hivi kwani kuna ubaya gani kila mmoja akamuomba msamaha mwenzie pale anapomkosea kwanini mmoja tu ndo anataka aombwe msamaha yeye kila siku hata kama yeye ndo kakosea?Ukiona ndoa imedumu anzia miaka mi 5 kwenda mbele ujue kuna bwege mmoja ndani ya hiyo ndoa...YES nasema bwege kwasababu hata akikosewa yeye atakubali kujishusha na kuomba msamaha yeye.
Ndoa itadumu kama TU kuna ataekubali mwenzake awe JUU yake siku zote na muda wote ila sisi tunaotaka EQUALITY ndo zkijitahid sana ni miaka 3.
OA halafu ukutane na yule mwanamke wa kutaka USAWA yani hataki umuoneee anataka haki bin haki Lazima urudi hapa uanzishe thread kutushauri ambao hatujaoa TUSIOE.
sasa Edelyn tufanye mimi ndio nimekosea,unaweza niomba msamaha wewe ili kuokoa jahazi la ndoa yetu? Assume umenifumania red handed...Okoa jahazi tusiachane hapo..Na hilo ndo tatizo hivi kwani kuna ubaya gani kila mmoja akamuomba msamaha mwenzie pale anapomkosea kwanini mmoja tu ndo anataka aombwe msamaha yeye kila siku hata kama yeye ndo kakosea?
Extrooooo!í ½í¸í ½í¸í ½í¸í ½í¸í ½í¸í ½í¸
akili za wabongo hizi nuksi
wapo kabisa..ila isizidi sasa in nature mwanaume hupenda kuheshimika maana anafanya vingi ndani ya familia kukuzidi hata wewe mwanamke sasa kutaka kila siku mimi ndio niwe bwege n ngumu kdg...nitoke kazini navuja jasho kuwatafutia chakula nafika nyumbani hata hamna chakula mezani,maji ya kuoga sijawekewa..kla siku niwe bwege tu?Sema hivi mwanamke akiwa bwege ndo ndoa inadumu kuna mwanaume anakubali kuwa bwege kwenye ndoa kweli?
Sasa hapo ndipo ninapoamini kuwa kwenye ndoa mwanaume akikosea basi anatakiwa asamehewe na avumiliwe ila mwanamke akikosea basi anatakiwa apigwe, asalitiwe, aachwe au aongezewe mke na kwanini iwe hivyo? Kwanini wote mnapokoseana msisameheane na msivumiliane? Kwanini umlipizie?sasa Edelyn tufanye mimi ndio nimekosea,unaweza niomba msamaha wewe ili kuokoa jahazi la ndoa yetu? Assume umenifumania red handed...Okoa jahazi tusiachane hapo..
Mimi ukniuliza kwann nmefanya hvyo ntajitetea nmelipizia kipnd kileee na wewe ulivyonfnyiaga ktu flan...jiweke hapo kati kati Mtihani huo unau faulu vipi kunusuru hii ndoa?
Kwa ndoa ambazo mwanaume anafanya majukumu mengi kuliko mwanamke huyo sawa hastahili kuwa bwege haya vipi kwa zile ndoa ambazo mwanamke ndo anafanya majukumu mengi kuliko mwanaume?wapo kabisa..ila isizidi sasa in nature mwanaume hupenda kuheshimika maana anafanya vingi ndani ya familia kukuzidi hata wewe mwanamke sasa kutaka kila siku mimi ndio niwe bwege n ngumu kdg...nitoke kazini navuja jasho kuwatafutia chakula nafika nyumbani hata hamna chakula mezani,maji ya kuoga sijawekewa..kla siku niwe bwege tu?
Ngumu kidogo hapo...
like charge repel,unlike charge attract each otherUkiona ndoa imedumu anzia miaka mi 5 kwenda mbele ujue kuna bwege mmoja ndani ya hiyo ndoa...YES nasema bwege kwasababu hata akikosewa yeye atakubali kujishusha na kuomba msamaha yeye.
Ndoa itadumu kama TU kuna ataekubali mwenzake awe JUU yake siku zote na muda wote ila sisi tunaotaka EQUALITY ndo zkijitahid sana ni miaka 3.
OA halafu ukutane na yule mwanamke wa kutaka USAWA yani hataki umuoneee anataka haki bin haki Lazima urudi hapa uanzishe thread kutushauri ambao hatujaoa TUSIOE.
Oeni tuje vaa vijora sie
kwanini pesa ikufanye usiwe chini ya mume wako? Yawezekana wote mnahudumia familia lakini kumbuka hata kama ikitokea tunafanya kazi aina moja na wote ni ma manager mshahara ni mmoja ila bado tofauti ipo Edelyn unajua ipo wapi..mimi n mwanaume wewe n mwanamke..pamoja na kwamba sisi ni ma manager ila tuna BOSS wa kampuni.Kwa ndoa ambazo mwanaume anafanya majukumu mengi kuliko mwanamke huyo sawa hastahili kuwa bwege haya vipi kwa zile ndoa ambazo mwanamke ndo anafanya majukumu mengi kuliko mwanaume?
Yaani mwanaume anatafuta pesa na kuhudumia watoto tu ila mwanamke anatafuta pesa anahudumia watoto anafanya kazi za nyumbani na analea watoto hapo napo mwanaume anastahili heshima kweli? Maana ndoa za aina hiyo ndo zipo nyingi siku hizi