inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 20,771
- 22,575
Nafikiri alikua na mtazamo wa beijing alipoingia kwenye ndoa..akakutana na mume hataki hayo mambo..wakaachana,badala ya kurudi nyuma na kuwa flexible..anakakamaza shingo kwamba hakukoseaUnadhani nin kimemfanya awe na mtazamo hasi juu ya wanaume ?
So tupo kundi moja na Joyce Kiria ?Nafi
Nafikiri alikua na mtazamo wa beijing alipoingia kwenye ndoa..akakutana na mume hataki hayo mambo..wakaachana,badala ya kurudi nyuma na kuwa flexible..anakakamaza shingo kwamba hakukosea
Nipe sababu zinazo pelekea kwa mwanaume kuchepuka ina make sense kuliko kwa mwanamke???I can't, yaani kuliko nichepuke mimi bora hata achepuke yeye angalau inamake sense, sijasema afanye makusudi ila angalau kwa mwanaume inamake sense japo wanaume wengi wanachepuka kwa kujiendekeza tu
Hivi mfano ukikuta mahusiano ambayo mwanaume anachepuka ila mwanamke hachepuki na mahusiano ambayo mwanaume hachepuki ila mwanamke anachepuka yepi utayashangaa zaidi?Nipe sababu zinazo pelekea kwa mwanaume kuchepuka ina make sense kuliko kwa mwanamke???
Sababu kauli yako imenishangza!!!
Umeona sasa ,ayaa mambo bhana,yaache kama yalivyo mkuuHa ha ha ,imenikuta nilikua kweny relation alaf naona kam nipo na mshkj wangu kabisa ,aya mambo basi tu nikaona bora niwe certified single kabisa
Niko mawindokipepe acha zako, leo porini hujapata windo nn mbona povu sana ? alafu comrade kipepe hana kitanda analala nyikani.