comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 8,245
- 16,552
Rudi unakimbilia wapi?
Sawa
It's comrade, a.k.a The man himself! A.k.a Mfalme wa Nyika, Namba 9 mgongoni mshambuliaji hatari.
Ni kwa Mara nyingne teeena mbele ya upeo wa mboni yako, ninarindima hapa jamviniii
Anaandika KIPEPE....
******-
Aseeee nipo kitandani hapa mida hiii nawaza umri unasonga natamani namimi nipate mke aseee
Mtanda wote huuu sita kwa sita najibilingilisha tuu mithili ya panya aliekunywa sumuuuu, ungekuta midaa hiii nipo na mke halali hapa tunayajenga yetu ya familia..
Duuuuh asee tuoeni vijana tuache uzinzi yani Mimi nikipata wife material naoaaaaa, kama una unaempenda oaneni tuu msisubirie sana halalisheni ndoa na Mungu awabariki sanaaaa
Ohhoooo
Ndiio mwisho hapooo
Fyaaaaa kama Bomu la nyukliaaa yuleeeeeeee
Its not like we don't see the married ones mtaani huku ! I choose to remain happy[emoji16][emoji16].
Huyu Alitalia kufanya kweli akaishia KULIZWA.
Dah! wanawake mtatuua kwa mateso sana
Habari wakuu Japo sio swala jipya ila hata hii ni yenyewe[emoji22] SITOMWAMINI MWANAMKE TENA Nimeamua kulielezea hili kuhusu wewe mwanamke tuliyedumu ktk mahusiano kwa muda wa mwaka mmoja. Sio siri kwa sasa umenipa wakati mgumu sana ktk mapenzi na sikutegemea kama ungenifanyia jambo gumu...www.jamiiforums.com
Dawa ya mwanamke husiyempenda ni kumuoa.
Sawa
Kuwa makini bwana Mdogo, ndoa sio kujiviringisha kwenye kitanda na kucheza kachiri sagaView attachment 1139731
Yes nakaziaSiharakie maisha..... Ndoa za Sasa ukiwa bwege ndo mnadumu