Dawa ya stress ni nini?

Pole sana, fanya lililo ndani ya uwezo wako, mengine achana nayo...
 
Zingine sina uwezo nazo ila namba 1na namba 4.

Kwamfano kwasasa toka juzi nakula ngoma yangu BUGA kizz daniel ft Tekno

Nikichoka naingia utube namchek jamaa yangu chizi MKOJANI aahhh basi stress zinajikuta zinakaa mbal kabisaa na mimi
Carleen na Eyce mko wapi leo!?😎
Your browser is not able to display this video.
 
Soma hii


 
Chijanganye kwenye makundi ya watu kwa kupiga story. Nakushauri pombe si njia ya kukusahaulisha eti usiwe unawaza juu ya jambo linalosumbua akili yako.
 
Mrudie Mungu hakuna cha muziki wala nn ukilifahamu Hilo utaishi Kwa Raha mustarehe ukiamini kila Jena na baya linatoka Kwa Mungu bc yote utasahau maana yy ndio mpangaji
 
Ukiwa na stress ongeza stress nyingine, dawa ya stress ni stress
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…