Singida ndio home
JF-Expert Member
- Feb 23, 2012
- 3,188
- 3,379
ni application ya kudownload au default software hiyo?...ukieka tu metered connection kwenye pc yako basi mb hazitumiwi na os mpaka utakapoondoa.
inawekwaje hiyo?ukieka tu metered connection kwenye pc yako basi mb hazitumiwi na os mpaka utakapoondoa.
Meterd connection inazuia "most of the updates" na sio "every update"...Nmeitumia hii njia ila Kuna siku niliunga 1 gb bundle kwenye tigo 4g, ndani ya dakika chache tu Mb ziliisha na nikagundua kulikuwa kuna update inafanyika.....Tangu nimeanza kutumia hii njia niliyoweka hakuna updates zinazofanyika bila ruhusa yanguukieka tu metered connection kwenye pc yako basi mb hazitumiwi na os mpaka utakapoondoa.
win 7 ndio haina updates?wins 7 forever, it doest have it, i wont get it
unaenda setting then kwenye wifi kuna additional setting ya kuieka network.kama metered.I
inawekwaje hiyo?
Meterd connection inazuia "most of the updates" na sio "every update"...Nmeitumia hii njia ila Kuna siku niliunga 1 gb bundle kwenye tigo 4g, ndani ya dakika chache tu Mb ziliisha na nikagundua kulikuwa kuna update inafanyika.....Tangu nimeanza kutumia hii njia niliyoweka hakuna updates zinazofanyika bila ruhusa yangu
ni settingni application ya kudownload au default software hiyo?...
FIXED, Nlikua na edit post, kumradhimkuu mbona kila nikiextract insema no file to extract??
aisee sina ubongo wa kukumbuka majina ya updatesππilikuwa ni update gani?
Poa mazeeKuna watu wengi (sana sana wanaotumia windows 10) wamekuwa wakiilalamikia mitandao yao inawafanyia wizi wa mb kwa vifurushi wanavyojiunga pale wanapovitumia kwenye pc zao, Ukweli ni kwamba hii mitandao ya simu wanahusika tu kwenye kutoa mb za data ila sasa hizi pc zetu mara nyingi huwa zinahitaji updates na kuna services zinayonya mb kimya kimya bila sisi kujua na hapo ndipo watu wengi hulalamika vifurushi vyao huisha ndani ya muda mchache tu baada ya kujiunga.
Cha kufanya ni simple kumaliza hili tatizo
1.download hili file >> Pakua hapa...
2.Extract file
3. Right click file ambalo umedownload then chagua option ya " Run As Administrator " then minya "Yes"
View attachment 646437
4.Kila utumiapo internet kwa modem ama kwa smartphone (hotspot / usb cable) fungua hili file, usilifunge hadi umalizapo shughuli zako za internet !!!
OKOA MB ZAKO!!!VYUMA VIMEKAZA ππ
store hai update apps ukieka meteredHa ha ha ha ha ha haaaaaah, karibu kwenye ulimwengu wa Linux, huku hakuna upigaji wa internet kwa OS bila kuipa ruhusa. Nilikimbia windows 10 kwa sababu hiyo, niliweka metered connection kumbe kuna kabwana mdogo kanaitwa store kana-update apps nilizodownload kimya kimya bila kukapa ruhusa, nikarudi zangu kwa Kali Linux
Mi nilishangaa sana maana nilishusha windows mara tatu lakini kila nilipokuwa nikimonitor internet nilikuta store ndo inakula internet bundle, nikaamua kufanya update za apps zote cha ajabu siku iliyofuata nikakuta tena apps zote zinadai update, 1GB ilikuwa inachukua minimum 4mins na maximum 15mins kuisha, hii ilinilazimu kurudi Linuxstore hai update apps ukieka metered
ni vyema ukidownload windows mpya udownload latest version, windows ya 2015 itakuwa na updates nyingi sana hata ikiwa ni 10. ila ukidownload windows 10 ya kama wiki iliopita utakuta kila kitu kipo up to date,Mi nilishangaa sana maana nilishusha windows mara tatu lakini kila nilipokuwa nikimonitor internet nilikuta store ndo inakula internet bundle, nikaamua kufanya update za apps zote cha ajabu siku iliyofuata nikakuta tena apps zote zinadai update, 1GB ilikuwa inachukua minimum 4mins na maximum 15mins kuisha, hii ilinilazimu kurudi Linux
Mara ya kwanza nilijua ndio tatizo nikaamua kufanya update mambo yakawa yale yale, may be kama kulikuwa na bugs kwenye ISO yangu ila ngoja niendelee kutumia hii Kali Linux maana project zangu zote nazifanyia hukuni vyema ukidownload windows mpya udownload latest version, windows ya 2015 itakuwa na updates nyingi sana hata ikiwa ni 10. ila ukidownload windows 10 ya kama wiki iliopita utakuta kila kitu kipo up to date,