Singida ndio home
JF-Expert Member
- Feb 23, 2012
- 3,188
- 3,378
kumbe jogoo anakorodani sijawahi kuona.... naomba anayejua anionyeshe ziko wapi
kumbe jogoo anakorodani sijawahi kuona.... naomba anayejua anionyeshe ziko wapi
ndiyo wapi tena huko?in bult...
hata mimi sijawahi kuona mapumb* ya jogoo au kichekesho hiki ?
ndiyo wapi tena huko?
labda kichekesho aisee
ndiyo wapi tena huko?
labda kichekesho aisee
A rooster (jogoo) has only two testicles located within the abdominal cavite near the top of the kidneys and towards the spinal cord, ukimpasua jogoo utaona vizuri sana. Tumbukia kwa mwalimu google ujionee
Waelekezeni na wanenu namna ya kukata kuku.....wajifunze sayansikimu.
Ila sina hakika na maoni ya mtoa mada, wengine watafafanua.
hiki kweli kichekesho