A.salaam wanajf..
Nilikuwa nimempenda sana jamaa mmoja handsome kweli kweli... anatokea kanda ya ziwa. Tatizo alikuwa msaliti...yaani msaliti aliyebobea..hadi nilikuwa namfumania ba wasichana wengine. Ila nilishindwa kumuacha pamoja na usaliti wake sababu nilimpenda sana.
ila katika kumchunguza nikagundua alikuwa beba beba bado hajapata mpnz ya dhati... hakuwahi kupata mpnz wa kumtuliza ndio maana hata alivyonikuta mm alifikir nitakuwa km wasichana wengine... anitoomb alafu aondoke
Kwangu nikambana tofauti... nikampenda sana na kumjal sana... yaan nilimwonyesha mapenzi ya dhati zaid ya mume na mke... na hv alinikuta nimetoka pande flani basi sikumpa nafac anione km wasichana wengine ambao ametoka nao...nilijiweka tofauti... nikamwonyesha namjali...namheshimu kwa dhati ya moyo wangu..
kwa sasa keshanitambulisha kwako...na kwetu anajulikana...haruc mwakani...
hivyo nimeona niwape hiyo ili mjifunze kuwa dawa ya msaliti ni kumpenda zaidi. Na si kumuacha... utaacha wangapi?
Ni hayo tu.