Dawa ya mwanamke wa hivi ni ipi?

Singasinga

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2011
Posts
2,741
Reaction score
3,316
Habari wakuu,

Naomba kuuliza dawa ya mwanamke ambae ukiondoa attention yako kwake analalamika kwenye status na kutia huruma sana kana kwamba anaonewa.

Ila mkianza kuwasiliana mfululizo anaanza kukuchukulia poa, ingawa unamkubali sana tu na mpo kwenye mahusiano miaka miwili sasa ila muondoko ni huo huo

Je watu wa aina hii niwakudeal nao vipi.
 
Yani hawa viumbe sijui wakoje asee

Me nimechoka kwa kweli,mahusiano utadhani unacheza na team iliyojaza mabeki mpaka uwaze jinsi ya ku unlock.
 
Dah! maana nikimpa care ananiona binamu sana,afu nikirudi shimoni

Status za vijembe na kutia huruma hazikauki.
Kwanini binamu sana πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…