Wakati mwingine mke anaweza kuwa vizuri sasa huyu kichwa kila kitu yeye kwamkewe hapana hapo ndipo mke anapoanza kubadilika mke huficha mengi sana lakini heshima ikishuka matatizo yana anzia hapoMwanamke ndie mtu pekee anayetegemewa na familia kuficha mapungufu ya nyumba yake ikiwemo Dhiki na uchoyo wa mumewe! Mwanaume anaweza kua ni mchoyo let's say akanunua nyama nusu kwenye nyumba yenye watu 10 ila mwanamke anaweza kubadili hiyo nyama nusu kuwa kilo na zaidi ila mwanamke akiwa mchoyo hata mumewe anunue nyama kilo 5 bado kwa walaji itakwenda Robo au chini ya hapo