Dawa ya mtu anayeota anaingiliwa usiku

Dawa ya mtu anayeota anaingiliwa usiku

Joined
May 12, 2009
Posts
25
Reaction score
35
1. Saga mpande kwa ndimu kisha ujipake mwili mzima kwa muda wa siku ishirini na moja.

2.Chuka halititi na uchanganye na mafuta ya zayti na uwe unajipaka saa ya kulala kila siku kwa muda wa siku 21.

3.Chukua mpandde na halititi pamoja na kipande cha ndimu uwe unajipaka x3 kwa muda wa siku 21 asubuhi na jioni na saa ya kulala. Vikombe 13 ajipake 1/2 kikombe cha chai

4.Twanga kamun as-wadi , harmali, kibiriti upele, swandali ahmar na halititi, bila kuchunga na ajifushe x3 kwa muda wa siku 21
 
Hii namba nne ni mavitu gani hayo.
Sisi huku mkoani hatujawahi sikia hayo makitu
1. Saga mpande kwa ndimu kisha ujipake mwili mzima kwa muda wa siku ishirini na moja.

2.Chuka halititi na uchanganye na mafuta ya zayti na uwe unajipaka saa ya kulala kila siku kwa muda wa siku 21.

3.Chukua mpandde na halititi pamoja na kipande cha ndimu uwe unajipaka x3 kwa muda wa siku 21 asubuhi na jioni na saa ya kulala. Vikombe 13 ajipake 1/2 kikombe cha chai

4.Twanga kamun as-wadi , harmali, kibiriti upele, swandali ahmar na halititi, bila kuchunga na ajifushe x3 kwa muda wa siku 21
 
mkuu toka 2009 hii ni post yako ya pili
id yako ya sikuzote ni ipi?
NAPENDA KUSOMA SANA KULIKO KUANDIKLA ILA ILINIBIDI UANDIKA BAADA YA KUONA KAMA KUNA UWEZEKANO WA KUWASAIDIA WALE WENYE TATIZO BAAD AYA KUMSAIDIA MTU KWA USHAURI KAMA HUU AKAPONA NA KUNA WENGINE AMBAO WANA CHANGAMOTO KAMA HII ILA SIJUI JINSI YA KUWAFIKISHIA UJUMBE KAMA HUU ILA NATUMAI UNAWEZA UKANISAIDIA
 
1. Saga mpande kwa ndimu kisha ujipake mwili mzima kwa muda wa siku ishirini na moja.

2.Chuka halititi na uchanganye na mafuta ya zayti na uwe unajipaka saa ya kulala kila siku kwa muda wa siku 21.

3.Chukua mpandde na halititi pamoja na kipande cha ndimu uwe unajipaka x3 kwa muda wa siku 21 asubuhi na jioni na saa ya kulala. Vikombe 13 ajipake 1/2 kikombe cha chai

4.Twanga kamun as-wadi , harmali, kibiriti upele, swandali ahmar na halititi, bila kuchunga na ajifushe x3 kwa muda wa siku 21
Very complicated.... Ndimu na chumvi vinatosha kabisa
 
Huwezi amini sasa hivi maisha yamekuwa
magumu hadi zile ndoto za kuota unakula au
unaokota pesa siku hizi hazipo zilizopo ni zile
za kuota tu una deni,umejificha
,unakimbia,unalia
HIZO DAWA YAKE NI KULIPA TU DENI LA WATU MANA UKISHALIPA WASIWASI WA DENI UNAONDOKA NA NDOTO HAZITOKUJA TENA
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom