Pritty wa joseph
JF-Expert Member
- Jul 17, 2014
- 2,379
- 2,051
Hahaha, sasa hivi forever living zao ni 18000Haya mambo ya kuuziana dawa za meno kwa 15000 na kuendelea kumbe bado yapo?
ndugu wanikumbusha FOREVER LIVING,ndo yalikua mambo yao hao
Sitaki hata kusikia.niliuziwa dawa ya mswaki 12,000kwenye dispensary. Nilimaindi kinoma nikaapa sintokwenda tenaaa pale.mpaka Leo sijaenda.
Mkuu unaweza toa maelezo mkuu, tusiharibiane biasharaKuweni makini na bidhaa hii.
Inawezekana kabisa unatutangazia dawa hiyo lakini wewe haujawahi tumia [emoji848][emoji848][emoji848]Mkuu unaweza toa maelezo mkuu, tusiharibiane biashara
Ndio ninayotumia Mimi na familia yanguInawezekana kabisa unatutangazia dawa hiyo lakini wewe haujawahi tumia [emoji848][emoji848][emoji848]
Kwani dawa ya meno na mswaki ni tofauti.?Dawa ya meno au ya Mswaki mkuu?maana sijaelewa maana yako
Weka active ingrediens zake.Mkuu unaweza toa maelezo mkuu, tusiharibiane biashara
IngredientsWeka active ingrediens zake.
Mpaka sasa free fluoride ndo yenye kutoa ulinzi Kwa meno, F- siioni kwenye ingredients ulizo weka .Alafu pia hakuna dawa ya meno inayo ondoa harufu mbaya mdomoni.Ingredients
Water,strontium chloride,sorbito, hydrated silica (friction type),hydrated silica( thickening type), aroma, glycerin, menthol, cellulose sodium sulfate,saccharin sodium, Cl 42090, Cl 42053
Mkuu inamaana ni F- peke yake?Mpaka sasa free fluoride ndo yenye kutoa ulinzi Kwa meno, F- siioni kwenye ingredients ulizo weka .Alafu pia hakuna dawa ya meno inayo ondoa harufu mbaya mdomoni.
Mnasafiri Uvinza na nyie?Ndio ninayotumia Mimi na familia yangu
Mkuu si ujuaji, fluoride ndo ingredient pekee kwenye dawa ya meno inayo saidia kurudisha madini ya calcium na phosphate kwenye jino linalo anza kutoboka au lililo kwisha toboka lisiendelee kutoboka, hili huwezekana tu kama kiwango cha uharibikaji ni kidogo kulikoi utengenezwaji. Ingredients nyingine kwenye dawa zina kazi nyingine tofauti na ulinzi wa menoMkuu inamaana ni F- peke yake?
Embu acha ujuaji
Aah pamoja na yote forever living dawa yao kiboko,wako vzr mnoHaya mambo ya kuuziana dawa za meno kwa 15000 na kuendelea kumbe bado yapo?
ndugu wanikumbusha FOREVER LIVING,ndo yalikua mambo yao hao