Black jew
Senior Member
- Sep 4, 2017
- 121
- 222
Leo narudi kibaruani ile nafika nikaingia ndani, mke wangu kanikaribisha kanipokea maliboro. Baada ya dakika kumi nasikia paaaa mara tena paaaa! Ikabidi nitoke nje namuona mpangaji mwenzangu anatoka kichapo kwa mdada full tandam imetitia utadhani imebeba kabeji.
Yanu inachezee vitasa huku jamaa analalama nani kakwambiaa unifwate nyumbani kwangu, kofi teke, kifuti ili mradi adhabu imfikie.
Mchepuko ukasema huku unagugumia kilio sasa kama ulikuwa hupokei simu yangu mi nifanyeje mi unanionea si ulisema tukutane nyumbani leo mkeo hatokuwepo basi mi na jamaa mwingine tukawaamua huh tukimsihi yule dada ondoka, basi akaondoka kwa unyonge.
Huku nyuma kila mmoja akaendelea na mishe zake mi nikampiga tu mke wake biti nisikie umesema kwa mkewe nitakukata kichwa.
Ila nimejifunza dawa ni kufanya juu ili mradi ukojoe mana ukijifanya fundi mwisho wake ndo huo inakuja mpaka nyumbani.