kutaja pesa kuzikuzuie na kukufanya umuogope @misschaga, nina hakika hayupo kama anavyoishi humu ndani... Binafsi nisingekuwa na Huyu Binti wa kinyakyusa ningejiweka kwake... Anavutia, ana maneno matamu na vile ni muelewa. Kumuacha @misschaga ni sawa na kupiga teke gunia la pesa