Dawa ya mchepukaji!

Hata huyo muheshimiwa hampigi kwa kumuumiza ili aendelee kuwa nae asitoroke
 
Ila huyo mwanamke mzuri bhana,wa sura na figure.
 
safi sana buhari, hivi huku kwetu imeishia wapi
 
Dawa ya mchepukaji mtangaze mtandaoni... kila atakaemuona atajua niwako huyo
 
Mchepukaji hana dawa labda uloge isiwe inasimama nikienda kwenye mechi za njeee
 
hili swala la kuchepuka inaonekana limekuwa sugu hapa tz...
 
Dawa ya mchepukaji mtangaze mtandaoni... kila atakaemuona atajua niwako huyo
Mi naona dawa kali kuliko zote ni; ukimfumania laivu mwambie jamani mpenzi pole kwa kazi ngumu, hebu vaa twende zetu home, halafu ukiwa mwenye furaha kanakwamba hakuna ubaya wowote unaoendelea pale.
Ikiwa atakuwa mjinga akakubali muondoke wote, mkifika home mwanalie maji mlazimishe akaoge na akirudi bafuni baada ya kuvaa, maisha yaendelee usimuulize chochote mbaki mkiongea mengine tuu.
Nina uhakika ataondoka home mwenyewe bila kufukuzwa
 


Ataendelea tu kuchepuka kama kuna tatizo na halijaondoka, Ni vyema mkaongea kama bado unahitaji kuendelea nae
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…