Dawa ya mba sugu za kichwani (Dandruff)

tpaul

tpaul

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2008
Messages
15,585
Points
2,000
tpaul

tpaul

JF-Expert Member
Joined Feb 3, 2008
15,585 2,000
Mtoa mada vipi maendeleo yakoje? Ulipona? Kwa dawa gani, na ilichukua muda gani?
mkuu nimepak movit wee hola...naona hili tatizo langu ni sugu kwa kuwa limenitesa tangu mwaka 1988. bado natafuta dawa tena safari hii hali imekuwa mbaya zaidi.
 
tpaul

tpaul

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2008
Messages
15,585
Points
2,000
tpaul

tpaul

JF-Expert Member
Joined Feb 3, 2008
15,585 2,000
Piga sindano mkuu watakauka wote,baada pendelea kuogea ant dandruff shampoo ambayo uua fungus na bacteria
mkuu, nimeogea shampoo za aina zote (ikiwemo ketoconazole) kwa muda wa miaka 3 hadi nimeamua kuacha...tena nikipaka shampoo naona ndio tatizo linakuwa kubwa.
 
tpaul

tpaul

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2008
Messages
15,585
Points
2,000
tpaul

tpaul

JF-Expert Member
Joined Feb 3, 2008
15,585 2,000
Piga sindano mkuu watakauka wote,baada pendelea kuogea ant dandruff shampoo ambayo uua fungus na bacteria
sindano gani mkuu? nakumbuka niliwahi kwenda kule St Bernard Hospital wakanipiga sindano ya salicylic acid lakini hola.
 
KakaJambazi

KakaJambazi

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2009
Messages
16,283
Points
2,000
KakaJambazi

KakaJambazi

JF-Expert Member
Joined Jun 5, 2009
16,283 2,000
Ka unatembea juani au unafanya kazi juani ndo mana nguzi inababuka .
Paka mafuta ya nywele ngozi ya kichwa iwe wet.
 
Miss Natafuta

Miss Natafuta

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2015
Messages
22,535
Points
2,000
Miss Natafuta

Miss Natafuta

JF-Expert Member
Joined Sep 16, 2015
22,535 2,000
mkuu nimepak movit wee hola...naona hili tatizo langu ni sugu kwa kuwa limenitesa tangu mwaka 1988. bado natafuta dawa tena safari hii hali imekuwa mbaya zaidi.
tumia radiant mkuu week mba haujaisha basi tena huna bahati
radiant mafuta na virgin cream
 
tpaul

tpaul

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2008
Messages
15,585
Points
2,000
tpaul

tpaul

JF-Expert Member
Joined Feb 3, 2008
15,585 2,000
tumia radiant mkuu week mba haujaisha basi tena huna bahati
radiant mafuta na virgin cream
pamoja sana mkuu...nitayajaribu. kwa hiyo niwe nachanganya radiant na virgin cream au nitumie mojawapo kati ya hizi?
 
Miss Natafuta

Miss Natafuta

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2015
Messages
22,535
Points
2,000
Miss Natafuta

Miss Natafuta

JF-Expert Member
Joined Sep 16, 2015
22,535 2,000
pamoja sana mkuu...nitayajaribu. kwa hiyo niwe nachanganya radiant na virgin cream au nitumie mojawapo kati ya hizi?
changanya tu moja asubui nyingine jioni pia ogea majani ya mlonge
 
AbisaMwmunisi

AbisaMwmunisi

Member
Joined
Sep 1, 2016
Messages
12
Points
45
AbisaMwmunisi

AbisaMwmunisi

Member
Joined Sep 1, 2016
12 45
Nikwel kabisa mafuta ya Radiant ya UG ni dawa nzuri sana hata mm nimeyatumia na unapona kabisa.
 
tpaul

tpaul

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2008
Messages
15,585
Points
2,000
tpaul

tpaul

JF-Expert Member
Joined Feb 3, 2008
15,585 2,000
Mafuta ya sulphur 8 yanatibu kabisa
yanapatikana wapi mkuu? unaweza ukatupa picha yake? kuna mafuta ya sulphur yapo kwenye lichupa fulani hivi nilipaka hadi yakadunda. ukiyapaka mafuta yale kisha ukaoga kichwa unahisi kinakuwa kikavuuu...si ndio hayo mkuu?
 
Mboga 1

Mboga 1

Member
Joined
Mar 29, 2017
Messages
80
Points
150
Mboga 1

Mboga 1

Member
Joined Mar 29, 2017
80 150
Kikopo chake ni kidogo sana na nilitumia zaman sana yakanitibu,sh 6000 bei yake na ni maduka ya madawa na vipodozi,mimi yalinisaidia sujui wengine..
 
One moment

One moment

Senior Member
Joined
Oct 22, 2016
Messages
110
Points
250
One moment

One moment

Senior Member
Joined Oct 22, 2016
110 250
Mm nasumbuliwa na huo ugonjwa pia, matibabu yangu ni mafuta ya nazi tu, kila nikitoka kuoga najikandika kichwani shughuli imeisha..
 

Forum statistics

Threads 1,325,464
Members 509,127
Posts 32,193,252
Top