SINGLE RASHID
Member
- Nov 8, 2012
- 71
- 15
Hi kwa wooote...
Ndugu zangu msinichose wala nisiwachose kwa maneno mengiii maana mficha uchi azai na mficha ugonjwa maradhi yatamuumbua....Naomba kujua wapi ntapata dawa ya mapenzi ya kienyezi nataka nianze mapenzi sasa rasmi....Nile vichwa kimoja baada ya kingine kwa maneno machache tuu na kushika mkono tuu...wapi mganga wa kweli jaman
Kama shida yako ni kula vichwa kwanini upoteze pesa zako kwa mganga.. ? Si uende moja kwa moja kwa kida dada wanaotuo huduma hio kwa ujira
Mkuu.@SINGLE RASHID Nitafutie Mfupa wa Mbu mimi nitakutengenezea dawa ya mapenzi..............
Mshangae na wewe! Wakati kwa sababu purchasing power ya wadau iko chini kuna discounts za maana, yeye anauza nyago humu!