M MAKULUGA JF-Expert Member Jan 21, 2011 7,627 10,240 Jun 7, 2016 #1 Nimempeleka mtoto hospitali baada ya kuona hana furaha, amebainika ana malaria. Dk kamwandikia dawa inaitwa cortecian, moyo wangu umekuwa mzito kununua, naomba ushauri ...ni mara ya kwanza kubainika na malaria ! Ana miezi 6
Nimempeleka mtoto hospitali baada ya kuona hana furaha, amebainika ana malaria. Dk kamwandikia dawa inaitwa cortecian, moyo wangu umekuwa mzito kununua, naomba ushauri ...ni mara ya kwanza kubainika na malaria ! Ana miezi 6
BADILI TABIA JF-Expert Member Jun 13, 2011 32,768 23,189 Jun 7, 2016 #2 Umemuona dr wa watoto? Kuna dawa za malaria za watoto