Dawa ya mafua kwa mtoto

AbuuMaryam

JF-Expert Member
Dec 26, 2015
2,536
4,513
Jamani ni dawa gani naweza msaidia mwanangu mafua maana nimemuona ana mafua...nahisi sababu ya mvua hizi...

Je naweza mpa dawa gani ya mafua ya watoto itakayomsaidia bila madhara...?
Ana kg 8 na kuendelea, alafu umri ni miez 6 kuelekea sita kasoro wiki 2
 
Dawa ya 1. MAZIWA YAKO MNYONYOSHE VYA KUTOSHA
2. JUISI YA MACHUNGWA,UBUYU,UKWAJU AU LIMAO
3. MNYWESHE MAJI KILA MARA
 
Jamani ni dawa gani naweza msaidia mwanangu mafua maana nimemuona ana mafua...nahisi sababu ya mvua hizi...

Je naweza mpa dawa gani ya mafua ya watoto itakayomsaidia bila madhara...?
Ana kg 8 na kuendelea, alafu umri ni miez 6 kuelekea sita kasoro wiki 2
Kwa umri huo hushauriwi kumpa mtoto madawa ya kunywa kunywa
Mnyonyeshe kwa wingi zaidi na hakikisha mwili wako unakuwa na joto la kutosha kwa ajili ya kumnurulisha mtoto
Hii pia italeta maziwa yenye kajoto joto ambacho ni kazuri kwa mtoto
Mfunike kwa nguo kavu na mbadilishe Mara kwa mara
Dawa ya matone yaweza tumika kwa uchache sana
Usimpe dawa za kunywa
ASANTE
 
Back
Top Bottom