Dawa ya kuzuia ndoa(kuolewa)

manking

JF-Expert Member
Joined
Feb 8, 2014
Posts
1,306
Reaction score
316
Habarini wana JF hasa jukwaa hili. nimependa kushare habar hii japo kwa ufupi na nyinyi.

Kuna rafiki yangu wa kiume alikuwa na rafki yake wa kike (mchumba) ambae awali walikubaliana kuwa wataoana. kwa wakati huo miaka mitano imepita kijana alikuwa mfanya kazi binti alikuwa akisoma high school baadae kwenda chuo (education).

Mwaka wa tatu kijana akataka atoe mahali binti akamwambia asubir hadi amalize masomo pia awe ametulia na kazi ndipo process zifanyike.

Kijana aliamua kutafuta msichana aliyetayar kuolewa na akamtaarifu huyo mchumba wake kuwa ameamua kuoa hivyo hayuko tayar kusubir muda wote huo. kijana akaoa hadi sasa hivi anendelea na ndoa yake mchumba wake wa mwanzo akamliza chuo na kupata kazi ya ualimu.

kwa bahati mbaya binti mwalimu hajapata mchumba na anadiliki kumwambia rafik yake(mchumba wa zamani) kamchawia ili asiolewe, hii inawezekana kweli wadau mtu arogwe ili asiolewe?

Wasichana badilikeni bahati hairudii mara mbili mtasingizia mmerogwa kumbe umejiroga mwenyewe.
 
Alichezea shillingi chooni! Atajibeba bahati haiji mara 2!!
 
Tobaaaa huko mwisho bonge la mpashoooo

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Hamna kitu kama hicho hizo ni saikolojia zake tu kikubwa atulie atapata mwingine atamuoa.
 
Hivi kuna wanawake wanaodengua wakipewa taarifa ya kutaka kuolewa siku hizi?
 
Mbona alikuwa na sababu nzur tu hakuwa rizki yake co mungu aliempangia wkt ukifika atapata
 
Bahati hujirudia mara nyingi tu sema hujawa na neema hiyo,ila amini tu kua bahati huja zaidi ya mara moja.

Inachukua muda gani kujirudia maana amekata tamaa hadi anasema karogwa,kwahiyo avutesubira sio?
 
Hivi kuna wanawake wanaodengua wakipewa taarifa ya kutaka kuolewa siku hizi?

Hata mimi ilinishangaza mtu yuko mwaka wa tatu anadengua sasa hivi anajitesa na mawazo inabidi wabadilike hawa ndugu zetu.
 
Ajitulize vitu vya kulazimisha havinaga matokeo mazuri kama bahati ipo,ipo tu
 
Kajituliza anaona muda unazidi kwenda kama nijua ni la saa kumi na moja hivi maana yake siku inakaribia kuisha, ni hatari kweli.
 
Huku Mtwara kuna sehemu ina bahari wanapaita machinjio ya Baniani karibu kabisa na sxuli ya Marwa-Ocean....aje kuoga haya maji ya bahari ataona mabadiliko.
 
Siajabu na mimi nishamgegeda na kumwacha kama ni mwalimu dar na ni miongoni mwa 360 ila leo naowa.
 
Huku Mtwara kuna sehemu ina bahari wanapaita machinjio ya Baniani karibu kabisa na sxuli ya Marwa-Ocean....aje kuoga haya maji ya bahari ataona mabadiliko.

Ujumbe utamfikia
 
Siajabu na mimi nishamgegeda na kumwacha kama ni mwalimu dar na ni miongoni mwa 360 ila leo naowa.Hataolewa bora azalishwe tu,ana maringo ya kizamani huyo.
 
Ataolewa tu atulie, otherwise achague hata msukuma guta amuoe. Mbona wako wanaume wengi tu kama shida ni kuolewa?
Mjini hapa marioo kibao wanatafuta kuolewa na wanawake! Hajaamua tu huyo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…