Tumia akili
Member
- Apr 1, 2013
- 67
- 1,552
Habari wana JF!
Ninahitaji msaada wa kupata dawa ya kivimbisha vidole vya miguuni. Kwa miaka sasa miguu yangu imekuwa na sugu zisizoisha. Ilitokea siku moja nilijigonga na kidole kimoja cha katikati cha mguu kikavimba na baada ya wiki mbili ule uvimbe ulipona kabisa na hapo hata zile sugu zikawa zimeisha.
Sugu hizi zilianza miaka zaidi ya 10 iliyopita na kila nilipojaribu kuzisugua taratibu ili ziishe imeshindikana. Ninaamini nikipata dawa inayoweza kuvimbisha vidole kwa wiki mbili zitakuwa zimeisha zote.
Asanteni!