Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,328
- 33,137
Unauliza swali au unatoa kashfa zako? hukulazimishwa wewe ujibu hii thread tafadhali tuheshimiane. Habba sauda kwa kiingereza ni Nigella sativa Source nigella sativa - Google Search Umevaa Kilemba kizuri nikafikiri unayo akili kumbe................habba sauda ndio nini? usituletee uganga wa kienyeji hapa
Unauliza swali au unatoa kashfa zako? hukulazimishwa wewe ujibu hii thread tafadhali tuheshimiane. Habba sauda kwa kiingereza ni Nigella sativa Source nigella sativa - Google Search Umevaa Kilemba kizuri nikafikiri unayo akili kumbe................
i love you:tongue: Kitty galore Niite mimi nitakufanya Massage nzuri tusasa ulishindwa nini kusema nigella sativa? unatulazimisha tusome kiarabu?unadhani wote ni wakazi wa Medina? nikichoka nitafanya massage, thanks anyway
Dawa ya Ugonjwa wa Uchovu wa mwili hii hapa Tumia kijiko kimoja cha mafuta ya habba sauda pamoja na glasi moja ya maji ya machungwa changanya pamoja kunywa kila siku asubuhi kwa muda wa siku kumi (10) utaona mabadiliko yake.
Unauliza swali au unatoa kashfa zako? hukulazimishwa wewe ujibu hii thread tafadhali tuheshimiane. Habba sauda kwa kiingereza ni Nigella sativa Source nigella sativa - Google Search Umevaa Kilemba kizuri nikafikiri unayo akili kumbe................
Kama upo hapo Dares-Salaam nenda Kariakoo kwenye maduka ya Dawa za kiarabu mimi sipo hapo Dar nipo nje ya nchi. Ukishakwenda hapo Kariakoo kaulize Wapemba hao wanaouza hizo dawa za kiarabu watakupatia Dawa inaitwa Habba soda au Habati soda kwa kingereza inaitwa Nigella Sativa oilKaka siyo wote tunaweza ku-google, si wote tunaelewa. Hilo jina linatisha sana ndiyo maana akasema hivyo. Kwa sababu upo, twambie wapi yanapatikana, yanauzwa shilingi ngapi?
MM kila la kheri, kwani uko nje nchi gani; nataka nije kukubebea mikoba ya tiba asilia huko.
karibu unakaribishwa nipo nje ya Nchi Ughaibuni......MM kila la kheri, kwani uko nje nchi gani; nataka nije kukubebea mikoba ya tiba asilia huko.
habba sauda ndio nini? usituletee uganga wa kienyeji hapa[/QUO
Mmmh... Umekuwa mkali bure ungefanya utafiti kidogo kuifahamu hiyo habba sauda Mzizi Mkavu keshakujibu.
Ila nauhakika sasa hivi utaijua na kuitafuta msimu wa machungwa ndio huu