Dawa ya kutibu uchovu wa mwili

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,266
33,039
Dawa ya Ugonjwa wa Uchovu wa mwili hii hapa Tumia kijiko kimoja cha mafuta ya habba sauda pamoja na glasi moja ya maji ya machungwa changanya pamoja kunywa kila siku asubuhi kwa muda wa siku kumi (10) utaona mabadiliko yake.
 
Unauliza swali au unatoa kashfa zako? hukulazimishwa wewe ujibu hii thread tafadhali tuheshimiane. Habba sauda kwa kiingereza ni Nigella sativa Source nigella sativa - Google Search Umevaa Kilemba kizuri nikafikiri unayo akili kumbe................

sasa ulishindwa nini kusema nigella sativa? unatulazimisha tusome kiarabu?unadhani wote ni wakazi wa Medina? nikichoka nitafanya massage, thanks anyway
 
Dawa ya Ugonjwa wa Uchovu wa mwili hii hapa Tumia kijiko kimoja cha mafuta ya habba sauda pamoja na glasi moja ya maji ya machungwa changanya pamoja kunywa kila siku asubuhi kwa muda wa siku kumi (10) utaona mabadiliko yake.

Mafuta ya habba sauda ndiyo mafuta gani? Ki ukweli siyajui naomba msaada!
 
Unauliza swali au unatoa kashfa zako? hukulazimishwa wewe ujibu hii thread tafadhali tuheshimiane. Habba sauda kwa kiingereza ni Nigella sativa Source nigella sativa - Google Search Umevaa Kilemba kizuri nikafikiri unayo akili kumbe................

Kaka siyo wote tunaweza ku-google, si wote tunaelewa. Hilo jina linatisha sana ndiyo maana akasema hivyo. Kwa sababu upo, twambie wapi yanapatikana, yanauzwa shilingi ngapi?
 
Kaka siyo wote tunaweza ku-google, si wote tunaelewa. Hilo jina linatisha sana ndiyo maana akasema hivyo. Kwa sababu upo, twambie wapi yanapatikana, yanauzwa shilingi ngapi?
Kama upo hapo Dares-Salaam nenda Kariakoo kwenye maduka ya Dawa za kiarabu mimi sipo hapo Dar nipo nje ya nchi. Ukishakwenda hapo Kariakoo kaulize Wapemba hao wanaouza hizo dawa za kiarabu watakupatia Dawa inaitwa Habba soda au Habati soda kwa kingereza inaitwa Nigella Sativa oil

Nigella Sativa Seed

Nigella sativa seed Hata kwenye Biblia ipo hiyo Dawa angalieni hapo chini

Nigella Sativa & The Old Testament
bonyeza hapa Nigella Sativa | Nigella Sativa Black Seed Benefits

essentialoils.jpg

Mafuta ya Habba Soda Nigella Sativa oil Or Black Cummin Seed oil

habba sauda ndio nini? usituletee uganga wa kienyeji hapa[/QUO

Mmmh... Umekuwa mkali bure ungefanya utafiti kidogo kuifahamu hiyo habba sauda Mzizi Mkavu keshakujibu.
Ila nauhakika sasa hivi utaijua na kuitafuta msimu wa machungwa ndio huu
 
Dawa ya uchovu ni kupumzika na glass chache za mvinyo. Kunywa dawa siku 10 mfululizo si unaongeza uchovu!
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom