Tatizo huwa ni vigumu sana kumjua ni askari gani kaua kwa kuwa huwa wanavaa helmet na kuziba nyuso zao hivyo kutokuwa rahisi kuwatambua,hata hivyo tukumbuke kuwa ile ni kazi kama zilivyo kazi nyingine na wao kwa kuwa wanafuata amri zaidi hivyo huwa ni vigumu sana kutotii amri za wakubwa zao,la maana ni kutafuta njia nyingine mbadala hii ya kulipiza kisasi kwa style hiyo hakuna atakayebaki salama.