B BEHOLD JF-Expert Member Nov 17, 2013 5,056 10,721 Jan 21, 2016 #1 MAZOEZI. Jitahidi japo mara 3 kwa wiki. Kimbia sana, Tembea sana, Wakudansi ,dansi sana, Walio mahusianoni fanya sana..! nk. Hapo sahau magonjwa ya rejareja!!
MAZOEZI. Jitahidi japo mara 3 kwa wiki. Kimbia sana, Tembea sana, Wakudansi ,dansi sana, Walio mahusianoni fanya sana..! nk. Hapo sahau magonjwa ya rejareja!!