rosita JF-Expert Member Joined Oct 18, 2013 Posts 510 Reaction score 471 Nov 15, 2013 #1 1.Kopa mkopo bank 2.Nunua gari bovu la biashara. 3.Oa mwanamke mwenye kelele. Ukifanya hayo yote kwa pamoja nakuhakikishia ndani ya miezi kadhaa kitambi kitakuwa historia.
1.Kopa mkopo bank 2.Nunua gari bovu la biashara. 3.Oa mwanamke mwenye kelele. Ukifanya hayo yote kwa pamoja nakuhakikishia ndani ya miezi kadhaa kitambi kitakuwa historia.
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 360,984 Reaction score 831,552 Nov 16, 2013 #2 Umesahau kimoja kuwa mwanasiasa kito...bi
S st.ignatues loyolo JF-Expert Member Joined Oct 18, 2013 Posts 230 Reaction score 30 Nov 16, 2013 #3 mkuu hapo kwenye gari bovu utakonda hadi kichwa
Kukudume2013 JF-Expert Member Joined Jan 8, 2013 Posts 1,659 Reaction score 737 Nov 16, 2013 #4 Mm naona hapo no.3 ndo kila kitu
rosita JF-Expert Member Joined Oct 18, 2013 Posts 510 Reaction score 471 Nov 16, 2013 Thread starter #6 mshana jr said: Umesahau kimoja kuwa mwanasiasa kito...bi Click to expand... Labda ukapuya
rosita JF-Expert Member Joined Oct 18, 2013 Posts 510 Reaction score 471 Nov 16, 2013 Thread starter #7 st.ignatues loyolo said: mkuu hapo kwenye gari bovu utakonda hadi kichwa Click to expand... Hahaaaaaa umenifurahisha mkuu...
st.ignatues loyolo said: mkuu hapo kwenye gari bovu utakonda hadi kichwa Click to expand... Hahaaaaaa umenifurahisha mkuu...
rosita JF-Expert Member Joined Oct 18, 2013 Posts 510 Reaction score 471 Nov 16, 2013 Thread starter #8 kukudume2013 said: Mm naona hapo no.3 ndo kila kitu Click to expand... Ili upate dozi kamili changanya vyote vitatu.
kukudume2013 said: Mm naona hapo no.3 ndo kila kitu Click to expand... Ili upate dozi kamili changanya vyote vitatu.