Smart911
Platinum Member
- Jan 3, 2014
- 177,487
- 195,289
Mzunguko...Unataka ugundue nini lo haha! Hakunaaa
Mzunguko...Unataka ugundue nini lo haha! Hakunaaa
ThanksItakaa Sawa tu
Hapo acheze kwa step/ tahadhari
Mleta mada hana kapicha hivi kwa faida ya members...
OkDuphaston is a progesterone analogue it works by having a negative feedback
Preventing hypothalamus pituitary axis many drugs can help you get a better gynecologist
Combined oral contraceptive like ethinyl estradiol combined with levonestrogel can help you they just work by negative inhibit HPO
Nina mwaka mmoja Toka nijifungue, ila baada ya kuanza kupata hedhi imekua isiyoeleweka, mara itoke mara mbili kwa mwezi mara itoke siku nyingi Zaid ya Saba, hospital nilienda nikapewa dawa ya duphaston kwa muda wa siku Saba baada ya hapo ikakaa sawa kwa muda wa miezi miwili nashangaa tatizo limerudi tena msaada tafadhal 🙏