KIOO JF-Expert Member Joined Mar 3, 2013 Posts 6,249 Reaction score 5,963 Jan 20, 2017 #61 madhabaunyeusinyeusi said: Lakini si mnasema haki sawa 50% kwa 50% Click to expand... Dah, wee kweli madhabaunyeusinyeusi. Lol.
madhabaunyeusinyeusi said: Lakini si mnasema haki sawa 50% kwa 50% Click to expand... Dah, wee kweli madhabaunyeusinyeusi. Lol.
sinafungu JF-Expert Member Joined Feb 13, 2010 Posts 1,527 Reaction score 868 Jan 20, 2017 #62 vee15 said: Watu wengi wamekua wakisumbuliwa na hormonal imbalance ambazo hueleta ndevu na vinyweleo mwilini. Je dawa ni nini kutibu hili tatizo au kuna madaktari wanaotibu haya matatizo na yakaisha kabisa??? Click to expand... uliwahi kumuona mmasai ana ndevu........? watafute wakupe maujuzi.
vee15 said: Watu wengi wamekua wakisumbuliwa na hormonal imbalance ambazo hueleta ndevu na vinyweleo mwilini. Je dawa ni nini kutibu hili tatizo au kuna madaktari wanaotibu haya matatizo na yakaisha kabisa??? Click to expand... uliwahi kumuona mmasai ana ndevu........? watafute wakupe maujuzi.
C cockroach Member Joined Apr 13, 2017 Posts 20 Reaction score 25 May 26, 2017 #63 Jaman mimi ni mwanaume .naombeni msaada wa dawa nzuri ya kuzuia ndevu kuota. Utakuta kwa wiki nanyoa ndevu mara nne. Hivyo naona kama zinaota haraka sana. Na pia kama unaijua hyo dawa naomba Na bei yake pia na maelezo ya kutosha
Jaman mimi ni mwanaume .naombeni msaada wa dawa nzuri ya kuzuia ndevu kuota. Utakuta kwa wiki nanyoa ndevu mara nne. Hivyo naona kama zinaota haraka sana. Na pia kama unaijua hyo dawa naomba Na bei yake pia na maelezo ya kutosha
ZING SOKONI JF-Expert Member Joined Aug 1, 2014 Posts 19,512 Reaction score 57,110 May 26, 2017 #64 Mimi natafuta dawa ya kuotesha ndevu
N NAKWEDE JF-Expert Member Joined Aug 1, 2007 Posts 27,972 Reaction score 35,199 May 26, 2017 #66 Yesu wangu!!!! mwanamme hutaki ndevu?????!!!!!
Padri Mcharo JF-Expert Member Joined Feb 28, 2015 Posts 1,899 Reaction score 3,691 Jul 7, 2017 #67 Hizi ndevu zangu ndio zimefanya yule dogo wa form three (mtoto wa mama mwenye nyumba) anikatae. Naonekana kama nimezeeka.
Hizi ndevu zangu ndio zimefanya yule dogo wa form three (mtoto wa mama mwenye nyumba) anikatae. Naonekana kama nimezeeka.
J Jamaa_Mbishi JF-Expert Member Joined Jun 15, 2013 Posts 10,185 Reaction score 7,378 Jul 7, 2017 #68 tindikalikali said: Wadau naomba mnifahamishe kama kuna dawa ya kuzuia ndevu kuota au kufanya zichelewe kuota. Click to expand... tindikalikali hivi mwenzetu si riziki au, unayakataa maumbile yako hadharani...halaaaaaa?
tindikalikali said: Wadau naomba mnifahamishe kama kuna dawa ya kuzuia ndevu kuota au kufanya zichelewe kuota. Click to expand... tindikalikali hivi mwenzetu si riziki au, unayakataa maumbile yako hadharani...halaaaaaa?
nathanael da mikel New Member Joined Jul 25, 2018 Posts 1 Reaction score 0 Oct 23, 2020 #69 tindikalikali said: Wadau naomba mnifahamishe kama kuna dawa ya kuzuia ndevu kuota au kufanya zichelewe kuota. Click to expand... Nyoa zote isibaki ata moja afu jisafishe kwa maji ya moto then subir ukauke alafu paka mayai yaliyochanganywa na asali......hapo utazuia hahah
tindikalikali said: Wadau naomba mnifahamishe kama kuna dawa ya kuzuia ndevu kuota au kufanya zichelewe kuota. Click to expand... Nyoa zote isibaki ata moja afu jisafishe kwa maji ya moto then subir ukauke alafu paka mayai yaliyochanganywa na asali......hapo utazuia hahah
A Atwoki JF-Expert Member Joined Aug 22, 2015 Posts 754 Reaction score 441 Oct 25, 2020 #70 nathanael da mikel said: Nyoa zote isibaki ata moja afu jisafishe kwa maji ya moto then subir ukauke alafu paka mayai yaliyochanganywa na asali......hapo utazuia hahah Click to expand... Yakwel hii njia au utan tu
nathanael da mikel said: Nyoa zote isibaki ata moja afu jisafishe kwa maji ya moto then subir ukauke alafu paka mayai yaliyochanganywa na asali......hapo utazuia hahah Click to expand... Yakwel hii njia au utan tu