N nsalu JF-Expert Member Joined Apr 10, 2012 Posts 1,240 Reaction score 1,285 Oct 23, 2018 #1 Naulizia dawa ya kuondoa cholesterol mwilini.
Eng Inc JF-Expert Member Joined Feb 3, 2017 Posts 631 Reaction score 946 Oct 23, 2018 #2 nsalu said: Naulizia dawa ya kuondoa cholesterol mwilini. Click to expand... Hakuna dawa zaidi ya kufanya mazoezi tu na kula kwa mpangilio vyakula visivyokua na mafuta mengi au visivyo na mafuta kabisa pia kuacha kula vyakula vinavyohifadhiwa kwenye makopo
nsalu said: Naulizia dawa ya kuondoa cholesterol mwilini. Click to expand... Hakuna dawa zaidi ya kufanya mazoezi tu na kula kwa mpangilio vyakula visivyokua na mafuta mengi au visivyo na mafuta kabisa pia kuacha kula vyakula vinavyohifadhiwa kwenye makopo
Basi Nenda JF-Expert Member Joined Jul 29, 2017 Posts 20,795 Reaction score 48,057 Oct 23, 2018 #3 nsalu said: Naulizia dawa ya kuondoa cholesterol mwilini. Click to expand... Mimi pia naitafutaga muda sana
nsalu said: Naulizia dawa ya kuondoa cholesterol mwilini. Click to expand... Mimi pia naitafutaga muda sana
gango2 JF-Expert Member Joined Aug 31, 2011 Posts 1,958 Reaction score 2,293 Oct 23, 2018 #4 dawa yake ni kutwa mara 2 asubuhi amka mapema fanya mazoezi angalau nusu saa- utoe jasho jioni pia ukiweza fanya mazoezi angalau nusu saa - utoe jasho dozi ni siku 21 utaanza kuona nafuu
dawa yake ni kutwa mara 2 asubuhi amka mapema fanya mazoezi angalau nusu saa- utoe jasho jioni pia ukiweza fanya mazoezi angalau nusu saa - utoe jasho dozi ni siku 21 utaanza kuona nafuu
Hammy Js JF-Expert Member Joined Sep 20, 2017 Posts 3,052 Reaction score 3,272 Oct 23, 2018 #5 nsalu said: Naulizia dawa ya kuondoa cholesterol mwilini. Click to expand... Fanya mazoezi kwa wingi, zitaunguzwa zenyewe kwa respiration process
nsalu said: Naulizia dawa ya kuondoa cholesterol mwilini. Click to expand... Fanya mazoezi kwa wingi, zitaunguzwa zenyewe kwa respiration process
I Incredible JF-Expert Member Joined Apr 2, 2012 Posts 1,031 Reaction score 1,604 Oct 25, 2018 #6 Dawa nzuri ni pomegranate seeds. Unachemsha unakunywa kama chain. Ni bora kuiweka kama sehemu yako ya mlo itakusaidia sana.
Dawa nzuri ni pomegranate seeds. Unachemsha unakunywa kama chain. Ni bora kuiweka kama sehemu yako ya mlo itakusaidia sana.
Mahemela_Tz Senior Member Joined Nov 22, 2016 Posts 178 Reaction score 96 Oct 27, 2018 #7 0759171356 nicheki mapema sana
Mwifwa JF-Expert Member Joined Apr 3, 2017 Posts 48,777 Reaction score 126,724 Oct 27, 2018 #8 Zingatia ushauri wa wadau wote waliokupa. Pia unaweza kutumia dawa za kitaalamu kama Atorvastatin, Rusuvastatin, Simvastatin. Kabla ya kutumia hizo dawa, muone kwanza daktari kwa maelezo zaidi
Zingatia ushauri wa wadau wote waliokupa. Pia unaweza kutumia dawa za kitaalamu kama Atorvastatin, Rusuvastatin, Simvastatin. Kabla ya kutumia hizo dawa, muone kwanza daktari kwa maelezo zaidi