Dawa ya kuondoa chelewa (hangover)

Ukiona unakunywa pombe halafu asubuhi unaamka umechoka basi wewe pombe hazikupendi.

Tabu yote hiyo ya nini ? sijui ule malimao mara mayai mabichi ....tabu tote hiyo ya nini si uache au punguza kunywa kwa afya tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…