Parachichi
JF-Expert Member
- Jul 22, 2008
- 510
- 104
Wakuu polen na kazi mingi!Ee bwana mimi natafuta dawa ya mtoto mdogo wa umri wa mwaka mmoja na miezi mitatu ya kumpa apetite.Mimi mwanangu ni mvivu sana wa kula anaweza kukaa siku nzima bila kula kitu chochote.Nilijaribu kumpeleka kwa Dokta kuchek Minyoo wanasema hana minyoo wala nini ila akashauri tuwe tunamlazimishia chakula.
Najua huku jamvini kuna wataalamu waliobobea naombeni msaada wenu wakuu.
Naomba kuwasilisha.
Angalia uzito wake kwenye kadi ya kliniki umekuwa ukiendaje. Kama uzito unaongezeka na uko kwenye rangi ya green ama juu zaidi maana yake mtoto anakula na kukua vizuri, mambo ya appetite itakuwa pressure zako tu (wazazi wengi huwa wana-pressure hizo unnecessarily).Wakuu polen na kazi mingi!Ee bwana mimi natafuta dawa ya mtoto mdogo wa umri wa mwaka mmoja na miezi mitatu ya kumpa apetite.Mimi mwanangu ni mvivu sana wa kula anaweza kukaa siku nzima bila kula kitu chochote.Nilijaribu kumpeleka kwa Dokta kuchek Minyoo wanasema hana minyoo wala nini ila akashauri tuwe tunamlazimishia chakula.
Najua huku jamvini kuna wataalamu waliobobea naombeni msaada wenu wakuu.
Naomba kuwasilisha.
Maswali machache kwanza:
- Ulianza kumpa chakula (i.e. anything zaidi ya Maziwa ya mama au kopo-lactogen, S26 etc) akiwa na umri gani?
- Wakati unaanza kumpa vyakula hivyo, ulikuwa unamlazimisha kula? Au likuwa napenda mwenyewe kula?
- Ulikuwa unampa vyakula vya aina gani? Na sasa unampa vyakula gani?
- Mtoto anapata njaa? Akiwa na njaa ana-behave vipi?
- Nani huwa anamlisha mtoto?
Baadae mwanao alikula vzr auMimi wangu amepewa Multivitamins na ORS lakini yeye alikuwa anapata choo chepesi sana.
Sasa na mimi sijaelewa mantiki ya kumpa vitamins wakati ananyonya vizuri ,mwanzo nilibisha asitumie hizo dawa lakini naona mama mtu anampa tu.
Matunda matunda yalimsaidia au ulimpa dawa nyingineAsee hilo ni tatizo kubwa kwa watoto Wa umri kuanzia Mwaka Mmoja na miez 3 au 4 weng ugoma kula kama mwanzo me wakwangu alikua anakula sas ameacha nimeambiwa nimepata matunda matunda yatamsidia kumpa aptite ya kula