Naibili
JF-Expert Member
- Jan 24, 2011
- 1,878
- 1,060
Je wewe ni mmoja kati ya waathirika wa mapenz, yaani mpaka ibustiwe ndo isimame?
Je imekuwa ukilalamikiwa na mpenzi wako kuwa himrizishi?
Je Kwako kutumia dawa za kuongeza nguvu imekuwa kawaida?
Kwa utafiti mdogo nilioufanya nmegundua watu wengi hasa vijana, wanaathiriwa na matatizo hayo na mengine mengi mengi, ikiwemo kumaliza mshindo ndani ya dakika 2, kitu ambacho unakuwa humtendei haki mwenza waking,
SULUHISHO
Jitahidi kujizoesha kunya maji kwa wingi Masaa kadhaa kabla ya Mechi, tena inashauriwa kunywa maji ya moto motor, huna haja ya kubugia kwa mpigo, kunywa taratibu kama wanywa chai vile, vikombe visivyo pungua sita. Na pia jitahidi kujiweka sawa kisaikolojia, alafu epuka kufanya shughuli zitakazo uchosha mwili.
Usipuuze dawa hii imewasaidia wengi,
USHUHUDA
Mzee ben aliweza kuokoa ndoa zake baada ya kunywa dawa hii na kumfanya mkewe aachane na vijana walokuwa wakihatarisha ndoa yake.