Dawa ya kuacha kutamani mademu

Dawa ya kuacha kutamani mademu

Huyo Yesu yuko wapi??? Airport au Ubungo terminal. Watu wapo serious we unaleta utani.
Utaan unaanzia wapi?? We huoni hilo ni pepo la kutamani...

Nan amekuambia Yesu anapatikana ubungo au airpot? Mimi nawewe nan mwenye utani?
 
Jamani mwenye kujua dawa ya kuacha kutamani tamani mademu ?

Napata shida sana hapa kwenye kibanda changu cha chipsi


Dawa yake asilia ni karoti ama matango….jishindilie mkunduni kila unaposikia hamu ya kuwa na demu. Wiki tu hamu yote kwishney.
 
ku
Dawa yake asilia ni karoti ama matango….jishindilie mkunduni kila unaposikia hamu ya kuwa na demu. Wiki tu hamu yote kwishney.
dah pengne haya majibu anajibiwa mtu na mambo yake nyumbani anaitwa baba,ofisini anaitwa boss jamani pumguzeni ukali wa maneno sio wote waliomo humu ni watoto kama nyinyi wa mig 33
 
Back
Top Bottom