kuna njia nyingi zinaelezwa kama juhudi za kutokomeza kitambi, leo jaribu hiii
tafuta ukwaju at least nusu kilo au robo kilo,ukisha uandaa uloweke kwenye maji lita moja kwa nusu kilo au maji nusu lita kwa ukwaju robo kilo, wait until 2hours to pass, then kamua kutenganisha juice ya ukwaju na peke zake, baada ya kupata juice yake weka kwenye glass na uchanganye na asali kwa kiwango cha kupata test standard kama juice zingine,
kitakachofatia baada ya kama saa moja....utaharisha sana sana, fanya hivo every day mara tatu kwa siku hadi utapo ona sasa inatosha, kwa kifupi ni tiba nzuri sana, TRY IT, u can see...na kama kikigoma kutoka ni bora ukafanyiwe oparesheni au ukaombewe
Kisipotoka i will sue you
Ndio mkuu maanake vitambi vingine ni uvivu tu wa kwenda chooni!!!!!!
Hata kyepe situmii kabisaaa....labda ni waliPunguza kula kyepe zion D,kitaisha
Red =
Kwa hiyo ukiweka juisi kwenye glass tu unaanza kuharisha ?
Naomba ufafanuzi kidogo.
nimeipenda hiyo hapo juu kuwa bila kitambi hupati mademu wala bia za mkopo!!????
mkubwa siku mademu wenyewe hawataki kitambi iweje uwapate kwa kutumia kitambi chako!!!!huyo atakuwa siye....
Punguza kula kyepe zion D,kitaisha
Hata kyepe situmii kabisaaa....labda ni wali
Mazoezi tu kiepe ni chakula light sana mie nikila kiepe ndio napungua!
Mtaambiwa mnywe mkojo wa ng'ombe sasa kuondoa vitambi tunzeni vitambi vyenu mmejaaliwa kila mtu na maajaaliwa yake ndo mana kuna warefu wafupi wanene wembamba wenye nanii kubwa na wenye naniii ndogo be proud of what u are!!
Hapana bado nakihitaji kitambi,ndio maana kila siku nafanya juhudi kubwa kuhakikisha kinakuwa kikubwa kuliko maelezo na kuthibiti mbinu zozote zinazoelekea kukidhoofisha kitambi hiki.eehe mwenyezi mungu bariki kitambi changu ili siku ile ntakaposimamiswa kazi nipate ugonjwa wa watu wakubwa hata kama ni h.i.v. Ili nipate sifa kuu mbele za wale niliowahujumu kukinenepesha kitambi changu.