Dawa ya kansa inapatikana!!!

TAPELI MKUBWA
 
Habari za jioni MKWEPA KODI,

Huwa nazitoa bure kwa dozi mbili ambapo mtu atatumia kwa miezi miwili alafu kama zikimsaidia na akazipenda basi ndo anunue zinazofuatia.

Nadhani umenielewa kaka.
Umeshazipeleka hayo mashirika alosema mkwepa kodi???
 
Hahahhaha kumbe na JF pia kuna madaktari wa matunguli?.

Naomba kamtibu yule dogo shabiki wa sunderland akipona na mimi nitakuwa moja ya watu watakao kutangazia biashara yako.
 
Nasubiri jibu langu
 
Umeshazipeleka hayo mashirika alosema mkwepa kodi???

Hi scorpio me,,, Bado sijazipeleka huko ila nimeshazipeleka Baraza la Tiba Asilia na wanataka Prove au Uhakiki wa watu mbali mbali kudhibitisha kwamba dawa zangu zinaponya na ndomaana nimekuja huku JF ili watu wafahamu kwamba dawa zangu zinatibu kweli na watu waweze kujijaribia wenyewe.

Pia mimi sio Mganga wa kienyeji wala mchawi.

Nadhani umenielewa kaka.
 
sukari inaponesha kabisa
 
Tunaogopa kikombe cha babu. Tulipoteza ndugu zetu wakaacha kunywa dawa! Cancer is not that easy to treat. Unaweza ukawa na potential medicine for making more research on it, that is acceptable, lakini kuponya, si kweli! Au inatibu symptoms lakini cancerous cells are intact!
Nisamehe kama nimekukwaza! I do apologize!
 
me sio kaka mkuu....
Ila bado hujatushawishi,isije ikawa yale ya babu wa loliondo au dk mwaka
...
 
me sio kaka mkuu....
Ila bado hujatushawishi,isije ikawa yale ya babu wa loliondo au dk mwaka
...

Mimi ninapatikana pale Mbezi Beach Jogoo, lakini bado sijaamalizia ukarabati wa ofisi yangu.

Nitamalizia ukarabati wa ofisi yangu mwakani na nitaanza kutoa dawa na ushauri ofisini kwangu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…