Dawa ya jino bovu siyo Kungoa

Dawa ya jino bovu siyo Kungoa

COARTEM

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2013
Posts
3,617
Reaction score
3,680
Wizara ya Afya imetoa maelekezo ya njia bora ya kutibu jino lililotoboka/kuoza badala ya kukimbilia kuling'oa.
Jambo linalowafanya watu wengi wakimbilie kung'oa jino ni maumivu makali waliyoyapata kutoka kwenye jino lililooza au kutoboka.
Zipo njia mbalimbali zitakazokusaidia kufanya jino lako lipone kabisa na kuendelea kulitumia kutafunia vyakula kama ambavyo kusudi la uumbaji wake ulivyowekwa na mwenyezi MUNGU.
Njia hizo ZA MATIBABU zilizotajwa na WIZARA YA AFYA ni kama ifuatavyo.
1. Kuua kiini cha jino (Pulpotomy)
2. Kutibu mzizi wa jino (Root Canal Treatment)
3. Kukata ncha ya Jino (Apicectomy)
4. Kuziba jino kwa dawa ya Muda mrefu (Permanent tooth filling)
5. Kuziba jino kwa dawa ya muda mfupi (Temporary tooth filling)
6. Kung'oa jino lililoharibika vibaya sana (Tooth Extraction). Hii ni kama kuukata mguu ulioharibika vibaya sana ambao hauwezi kufanyiwa upasuaji wa kuungwa kwa namna yoyote.
Ukienda hospitali kutibiwa jino usikimbilie kung'oa kwani matibabu yapo ya kufanya jino lako lipone kabisa na kukuepusha kuwa Kibogoyo
Huduma hizi zinapatikana kwa njia ya kulipia fedha taslimu au kutumia kadi ya NHIF, STRATEGIES,AAR,JUBILEE n.k n.k
Dawa ya JINO siyo kung'oa.jpeg
 
Tumia mkojo wa kwanza wa asubuhi ule wenye acid kali kusukutua jino lililoboka kwa siku mbili tuu. Baada ya hapo utanishukuru kimya kimya.
 
Wizara ya Afya imetoa maelekezo ya njia bora ya kutibu jino lililotoboka/kuoza badala ya kukimbilia kuling'oa.
Jambo linalowafanya watu wengi wakimbilie kung'oa jino ni maumivu makali waliyoyapata kutoka kwenye jino lililooza au kutoboka.
Zipo njia mbalimbali zitakazokusaidia kufanya jino lako lipone kabisa na kuendelea kulitumia kutafunia vyakula kama ambavyo kusudi la uumbaji wake ulivyowekwa na mwenyezi MUNGU.
Njia hizo zilizotajwa na WIZARA YA AFYA ni kama ifuatavyo.
1. Kuua kiini cha jino (Pulpotomy)
2. Kutibu mzizi wa jino (Root Canal Treatment)
3. Kukata ncha ya Jino (Apicectomy)
4. Kuziba jino kwa dawa ya Muda mrefu (Permanent tooth filling)
5. Kuziba jino kwa dawa ya muda mfupi (Temporary tooth filling)
6. Kung'oa jino lililoharibika vibaya sana (Tooth Extraction). Hii ni kama kuukata mguu ulioharibika vibaya sana ambao hauwezi kufanyiwa upasuaji wa kuungwa kwa namna yoyote.
Ukienda hospitali kutibiwa jino usikimbilie kung'oa kwani matibabu yapo ya kufanya jino lako lipone kabisa na kukuepusha kuwa Kibogoyo

Kwani Bima ya afya Tanzania (NHIF) wanasemaje?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom