proto cute
Senior Member
- Apr 22, 2015
- 191
- 112
Hili jani ni dawa ya nn pia?? Haswa kwa wasichana??mwambie atumie hilo jani lina msaada mkubwa mnoo
Asante sana mkuu, anatumiaje kwa sikumwambie atumie hilo jani lina msaada mkubwa mnoo
Asante mkuuMpeleke hospital muhimbili,kuna gynaecologists watakusaidia..me pia nilikuwa na hilo tatizo la kutoshika ujauzito walinisaidia nikafanikiwa..kuna dr anaitwa mtinangi ndiye aliyenisaidia
Sent using Jamii Forums mobile app
Inapatkana wapi mkuuTafuta Dawa inaitwa Joy ya mchungaji mmoja huwa anarusha kipindi chake star TV inasaidia sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa mkuu, Kama upo arusha kwa sasa naomba uniulizie kwa dar wanapatkana wap
Sipo Arusha Mkuu ila ni wale wanaouza (DFP) Dawa ya meno kwa Arusha ni kona ya MbaudaSawa mkuu, Kama upo arusha kwa sasa naomba uniulizie kwa dar wanapatkana wap
Sent using Jamii Forums mobile app
Sipo Arusha Mkuu ila ni wale wanaouza (DFP) Dawa ya meno kwa Arusha ni kona ya MbaudaSawa mkuu, Kama upo arusha kwa sasa naomba uniulizie kwa dar wanapatkana wap
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtafute huyu dada instagramWakuu kama kichwa cha habari kinavyo sema, Mke wangu anatatizo la hormone imbalance, hivyo hawezi kubeba ujauzito, Naombeni msahada wa tatizo hili au dawa ambayo inaeza kumsaidia abebe ujauzito angalau Mtoto mmoja tu. Asanteni.
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante sana mkuiHilo jani linarekebisha homon hat wale ambao hawashiki ujauzito hilo jani ni kiboko
Nadhani ungesema hapa ili wengi wajue mkuuMimi ninayo dawa ya kumtibu mke wako hayo maradhi ya Hormone Imbalance nitafute kwa wakati wako nipate kumtibia mke wako.
Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Herbalist Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe.fewgoodman@hotmail.com What's App na Viber +905344508169 Au Ni add Kwa Facebook tumia jina hili mzizimkavu.
Asante mkuu, Naomba na maelekezo yake ili kesho aanze kutumia, Natanguliza shukrani mkuuUsipigwe pesa nimekupa dawa hiyo bure kabisaa hata uwe una miaka 10 hujazaa kwa uwezo wa Allah hilo jani ni mkombozi kwa wanawake dawaa hiyo buree na wote nilowaelekeza wengine washapakat na wengine ni mama k now kazi kwako ukitaka maelezo yake nifate pm sitak shinkumi yako nimeamua kukusaidia tu