Dawa ya hormone imbalance

Hivi ni vipimo vya hosptali vya kitalaam kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ingia Instagram ya Hosymichael utapata suluhisho la kudumu, believe me
 
nani kakwambia tatizo ni hormon inbalance?? kama ni hospital je wamekushauri nini? kama wameshakupa tiba na advise na hazifanya kazi endelea kuomba ushauri kwa walimwengu ila kama hijaenda hospital na unatafuta advise mitandaoni jiandae kupigwa na hao wanaojiita wataalam
 
Tumenda hospital, kapewa dawa lakini hazijamsadia. Na tumeenda hosptali nyingi sana mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mlonge ni suluhisho la tatizo la mkeo.(Nina ushuhuda wa kutosha) Ukihitaji ni pm nikupe mlonge na maelekezo ya matumizi.
 
Hormobe ipi ilyo pungua?
 
Mimi siyo daktari, lakini nina ushuhuda wa tatizo hilo. Fanya hivi, atumie vidonge vya majira. Mfululizo kwa miezi mitatu tatizo litakwisha. Siku zake zitarejea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…