Dawa ya hizi rashes (upele)

Nimeshauriwa hapo juu nataka niitafute hiyo dawa
Una uhakika huna scabies? Ni aina ya chawa wadogo sana wanaishi kwenye ngozi. Huwa wanawasha sana na vidole vinakuwa na vipele. Kuna dawa inaitwa scaboma lotion. Ila ni muhimu sana kuwa na usafi wa mashuka na nguo. Kama ni huo ugonjwa, huwa unaambukiza sana na inabidi ufanye usafi wa nguo na mashuka yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…