nyundo2017
JF-Expert Member
- Sep 7, 2017
- 1,439
- 859
Habarini wadau,
Kuna mgonjwa jirani yangu ameambiwa achome dawa ya sindano aina ya "Histoacryl glue injection therapy for oesophageal, gastric and ectopic varices" kulingana na tatizo lake.
Mwenye kujua inauzwa wapi atusaidie kutuelekeza kwa aumetafuta sana bila mafanikio.
Asanteni
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app