Dawa ya deni kulipa walimwengu

Dawa ya deni kulipa walimwengu

Hakuna kitu ninachokiogopa kama deni, iwapo kama mtu nimemkopa bssi nakua basi wasi wasi hatakama mda tuliokubaliana haujafika.
Sasa nilivyo mimi nibora ndani kwangu nilale njaa wiki nzima ila nifute madeni kwanza.
 
kuna watu wanaona vya wenzao sijui mavi
kuna mkaka ofsini ni ndugu yake boss wangu kijana ana hela jamani anaweza kuja na burungutu la hela ukamuomba mia tano ya soda atachomoa tu mia tano yaani
Unamuona na burungutu la hela, hizo hela zipo kwenye budget. Mjini hakuna kutoa ovyo, yaani mtu akuombe ya 'soda' wewe umpe ya 'bia'. Hata kukupa tu ni huruma, alitakiwa asikupe kabisa...laki ikipungua jero tu haitoshi kununua kitu fulani.
 
OTE="peterchoka, post: 17460801, member: 252927"]Mmoja kaniambia mwisho wa mwezi nakulipa, Leo tarehe 3 sijui mshahara kwao bado haujatoka[/QUOTE]

Mie nimeshadai mwaka mzima lkn sipewi pesa yangu hadi nimechoka sasa, ila nimejifunza kukopesha tena mh!!!
 
OTE="peterchoka, post: 17460801, member: 252927"]Mmoja kaniambia mwisho wa mwezi nakulipa, Leo tarehe 3 sijui mshahara kwao bado haujatoka

Mie nimeshadai mwaka mzima lkn sipewi pesa yangu hadi nimechoka sasa, ila nimejifunza kukopesha tena mh!!![/QUOTE]
kuna mtu nimeamua kumuacha tu!
 
Jamani kuna wadada watatu wote wafriends walipatwa na Shida tofauti kipindi tofauti nikawasaidia tangu 2014 wawili na mmoja mwaka Jana .wote wanna mishahra ninavyoongea hivi urafiki umevunjika kabisa kisa nawadai hats sent imagine mtu anaazima 1.5M mtoto kalazwa Hosp.imekuwa shida nimekoma hata ndugu alie vipi nimekuwa kabila la akina Jr.Mshana hahaaa
 
kuna watu wanaona vya wenzao sijui mavi
kuna mkaka ofsini ni ndugu yake boss wangu kijana ana hela jamani anaweza kuja na burungutu la hela ukamuomba mia tano ya soda atachomoa tu mia tano yaani
Mtu hupewa aombacho ..si zaidi ya aombacho...labda kipunguzwe
 
Wapo wachache waaminifu wanaorudisha bila hata kukumbushwa... wapo wale ambao baada ya kukopa wanaojiona wajanja..
 
kuna watu wanaona vya wenzao sijui mavi
kuna mkaka ofsini ni ndugu yake boss wangu kijana ana hela jamani anaweza kuja na burungutu la hela ukamuomba mia tano ya soda atachomoa tu mia tano yaani
Sasa wewe si umeomba hela ya soda?
 
Mi nishaamua bora niitwe nina roho mbaya vinginevyo bora nimpe hela bure kuliko kumkopesha mtu, wanavunjaga hadi undugu na urafiki wadaiwa sugu.
 
Kati ya vitu ambavyo siwez nikufwatilia deni izo biashara zakuambiwa njoo kesho siziwez wengine sio wastaarab nn kukutukana juu,

bora nimnyime Tu kuliko kuanza kusumbuana kwa maneno yasiyo pendeza

kwani nimesema sikulipi usinsumbue na icho ki pesa chako ,
Hapo upo kama mimi.
Nikiwa nayo kheri mtu nimgaie tu.
Mambo ya kuanza kusumbuana, muda wenyewe sina.
Tena wengine huwa na ufedhuli sana. Me naamini huwa ni matapeli tu, sema tu hujidai kuja na gear ya kukopa. Na ukute hapo anadaiwa na watu kibao.
Na kama mtu hamjaandikiana unashindwa kuchukua hatua yoyote.
 
Zamani mtu akitaka kukopa laki nilikuwa nampa 20....

Siku hizi sikopeshi kabisaaa.....
Loohh!nashukuru umenifundisha akili yaani mie ni mpuuzi haswa Mtu akitaka pesa kama ninayo siwezi!
Ila nimejifunza kitu!
 
Ukitaka usigombane na mtu kuhusu deni....usikopeshe bila ya dhamana.
 
Back
Top Bottom