Sasa huyo ni bahilikuna watu wanaona vya wenzao sijui mavi
kuna mkaka ofsini ni ndugu yake boss wangu kijana ana hela jamani anaweza kuja na burungutu la hela ukamuomba mia tano ya soda atachomoa tu mia tano yaani
Sasa kosa lake ni lipi si umemuomba mia 5 umepewa?kuna watu wanaona vya wenzao sijui mavi
kuna mkaka ofsini ni ndugu yake boss wangu kijana ana hela jamani anaweza kuja na burungutu la hela ukamuomba mia tano ya soda atachomoa tu mia tano yaani
Yaani sasa hv na mie nataka nianze roho mbaya,maana unamuazima kiubinadamu Ila kwenye kulipana jamani mpk mtoleane maneno mwingine anakuambia kabisaHalafu kuna wengine wanapokuzungusha namna hiyo wanakuwa wanajiona wajanja sana.
Ndo maana mimi sasa hivi nimeamua kuwa mchoyo tu.
Na nilivyo na msimamo sasa..hahaa.
Potelea mbali, ima fa ima!
Kuna mtu namdai yani kaniambia hana hela juzi kanunua simu jamani loooh!!halafu ofisi mja daahhh!!Hii mbaya zaidi kama uliyemkopesha mko ofisi moja na unamwona anavyo kuwa na matumizi yasiyo na lazima, huku bado hajakulipa.
Cha kushangaza na siku ya kupokea mshahara unaijua na bado anakuambia hana hela.
Tujifunze jamani kukopa hakutaisha leo wala kesho tuwe na utu...hata mkopeshaji ana mahitaji kama ya mkopaji.
Pole geniveros.
wee acha tu anajibu hvyo hvyo!!Kati ya vitu ambavyo siwez nikufwatilia deni izo biashara zakuambiwa njoo kesho siziwez wengine sio wastaarab nn kukutukana juu,
bora nimnyime Tu kuliko kuanza kusumbuana kwa maneno yasiyo pendeza
kwani nimesema sikulipi usinsumbue na icho ki pesa chako ,
Ndugu washanifilisi sina hamu natamani Julia!sijapewa hata mia!Tena hawa ndugu ndio hatari zaid ukiwakopesha!
Ubinadamu nao ndo unatugharimu sana,unampa mtu kiungwanvna unaamini hatokuangusha mwisho wa siku inakula kwako!Ndo tatizo la kukopeshana kuholela hilo.hata dini inasema unapomkopesha mtu muandikishane na wawepo mashahidi.ukitaka mtu asikuzungushe kwenye malipo akija kukopa awe na dhamana na muandikishane unless ni pesa ndogo kama alfu kumi au hata 50
Kashakuachia manyoya huyoo!!Mmoja kaniambia mwisho wa mwezi nakulipa, Leo tarehe 3 sijui mshahara kwao bado haujatoka
Asante kwa ushauri nataka na mie niwe USO wa mbuziJifunze kuwajua watu wanaokuzunguka. Kama mtu anakopa na kurudisha bila shida huyo akija ata usiku wa manane amka na umpe anachohitaji kama kipo.Ukishawajua wasumbufu wao labda uwape bure, yaani bila kuwa na matumaini ya mrejesho.Wasumbufu wakitaka kukopa waambie huna/wazungushe kama wanavyokufanyia.
Kwa hiyo katika ile request ya US$500 niandike maumivu?Halafu kuna wengine wanapokuzungusha namna hiyo wanakuwa wanajiona wajanja sana.
Ndo maana mimi sasa hivi nimeamua kuwa mchoyo tu.
Na nilivyo na msimamo sasa..hahaa.
Potelea mbali, ima fa ima!
Halafu elf15 ikakutoe thamani kweli, duhUbinadamu nao ndo unatugharimu sana,unampa mtu kiungwanvna unaamini hatokuangusha mwisho wa siku inakula kwako!
Kashakuachia manyoya huyoo!!
Asante kwa ushauri nataka na mie niwe USO wa mbuzi