Abbassalum
JF-Expert Member
- Dec 11, 2016
- 338
- 177
Akikufa na chuki yake nayo itakuwa imefariki [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Kunywa sumu ufe
watendee mema nawe utatendewa wema. chuki hutolewa kwa wemaHbr wanajamvi
Naomba ushauri jinsi ya kuondoa chuki hii nimejikuta nachukia kizazi cha kiume ktk maisha tangu (wanaume) kila nikifikiria nyuma najikuta tuu najawa hasira juu yao
Mawazo yenu ni tiba ....
Majimambo tuuKila ukifikiria nyuma unachukia wanaume?? Wamekufanya nini nyuma?
Aisee nakuunga Mkono usiwapende hata kidogo wanaume hasa walio under 30yrs,watakutafuna na kukuacha tuu...Hbr wanajamvi
Naomba ushauri jinsi ya kuondoa chuki hii nimejikuta nachukia kizazi cha kiume ktk maisha tangu (wanaume) kila nikifikiria nyuma najikuta tuu najawa hasira juu yao
Mawazo yenu ni tiba ....
Sema usaidiwe...Majimambo tuu