OMOYOGWANE
JF-Expert Member
- Dec 30, 2016
- 5,366
- 13,340
Wafahamu watu wanaoitwa SociapathSijakuelewa
maana nimerudia rudia nimeambulia patupu...Najihisi nina kaubashite kwa mbaliiii
Hbr wanajamvi
Naomba ushauri jinsi ya kuondoa chuki hii nimejikuta nachukia kizazi cha kiume ktk maisha tangu (wanaume) kila nikifikiria nyuma najikuta tuu najawa hasira juu yao
Mawazo yenu ni tiba ....
unamaana ulishampenda mtu kwa dhati tena ukampa moyo wako wote.. ila kilichotokea amekuzingua.. tena mmeachana bila ya wewe kuridhia.. sasa sisi wengine unatuchukia vp wakat kafanya hilo mmoja katika mamilioni..!!!
Ni mkusanyiko wa visa vingi kwa watu tofauti ...Haya hapo nimekupata
Tuje swali la pili wamekufanya nini mpaka unaachukia???
usijute kuachana nae... fikiria kwann umeachana nae.. katika yale mabaya yake yawe chanzo cha kukupa amani ya moyo baada ya kuachana..!Sijui kama itatokea nawachukia jmn..,.......
Chuki kwa wanaume inasababishwa na vitu vingiunamaana ulishampenda mtu kwa dhati tena ukampa moyo wako wote.. ila kilichotokea amekuzingua.. tena mmeachana bila ya wewe kuridhia.. sasa sisi wengine unatuchukia vp wakat kafanya hilo mmoja katika mamilioni..!!!
agiza fursana ntalipia..!Chuki kwa wanaume inasababishwa na vitu vingi
1. Ameona mateso anayoyapata mama yake toka kwa baba yake... Au mama yake alitelekezwa na wakaishi maisha magumu sana
2. Sexual abuse... Wasichana wengi waliobakwa utotoni au ukubwani wanakumbwa na hili tatizo.
4. Alitendwa na mwanaume aliempenda na kumuamini.
Sasa sielewi kwanini mleta mada anawachukia wanaume!
Wapo ofcoz na kuna muda hata wao nawafikiria vbyNikusaidie jambo moja. Kila mtu ana jinsia 2. Hiyo uliyonayo ndio ndio kubwa zaidi. Vinginevyo usingeweza ishi na jinsia nyingine.
Nikuulize. Hapo kwenu hamna baba,babu au kaka au ndugu wengine wa kiume?
Au unachukia wa lile eneo wa wanaoweza kuwa wenzi? Kama ni hivyo unaweza kuwa na jini mahaba la kiume na lina wivu kwelikweli.
Maombi yanaweka mambo yote sawa.
Asanteeusijute kuachana nae... fikiria kwann umeachana nae.. katika yale mabaya yake yawe chanzo cha kukupa amani ya moyo baada ya kuachana..!
halaf waza maisha mapya utampataje atakayeziba mapungufu yale ya wa mwanzo!!! ndo tunavyoponaga hivyo!
unahisi hayo yalokukuta ni kwako peke yako?Ni mkusanyiko wa visa vingi kwa watu tofauti ...
karibu sana...Asantee
Asanterunahisi hayo yalokukuta ni kwako peke yako?
na je kwa wingi wa idadi ya walokutenda basi imekuwa kiwakilishi tosha kwamba wanaume wako hivyo?
Na je una amini kwamba hutopata mwingine ambaye atakuja kukufuta machozi ukasahau maumivu ya jana na juzi??
Kila mmoja kwa nafasi yake na kwa muda wake amepitia hayo ulopitia ww awe mwanaume au mwanamke...
Na ili uje umpate anayefaa lazima upite kwa wasofaa ili uje umpate anayefaa.
Na ukija mpata basi unajua thamani na umuhimu wake..
Usikate tamaa bado unasafari ndefu katika maisha usimalize maneno leo wakati kesho pia utahitaji uwongeee
Wenga akiba maisha yana maajabu mengi na miujiza mingi
Poa mkuu! Asanteagiza fursana ntalipia..!
usizidishe jero.. katikati ya mwezi huu!Poa mkuu! Asante
Bby usinichukie nilirogwaHbr wanajamvi
Naomba ushauri jinsi ya kuondoa chuki hii nimejikuta nachukia kizazi cha kiume ktk maisha tangu (wanaume) kila nikifikiria nyuma najikuta tuu najawa hasira juu yao
Mawazo yenu ni tiba ....
karibu sanaAsanter
Usihofu mkuu!!! Ata ashikirimu ya ukwaju ya 50 ntachukua nikupunguzie bajetiusizidishe jero.. katikati ya mwezi huu!
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] unajua nina hasiraBby usinichukie nilirogwa
Haya rudi tuyamalize usichukie wengine[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] unajua nina hasira
Be positive. ..usipokuwa na moyo wakusamehe UTAUMIA sana na kizaz chako nitapata mkosi huo huo wakubeba chuki,,,Hbr wanajamvi
Naomba ushauri jinsi ya kuondoa chuki hii nimejikuta nachukia kizazi cha kiume ktk maisha tangu (wanaume) kila nikifikiria nyuma najikuta tuu najawa hasira juu yao
Mawazo yenu ni tiba ....