Dawa ya chuki

unamaana ulishampenda mtu kwa dhati tena ukampa moyo wako wote.. ila kilichotokea amekuzingua.. tena mmeachana bila ya wewe kuridhia.. sasa sisi wengine unatuchukia vp wakat kafanya hilo mmoja katika mamilioni..!!!
 
Duuh
Kama vile umeuona ukweli
 
Ni Mungu pekee ndo dawa!
Muweke Mungu moyoni mwako na atakupa faraja na moyo mwepesi.
Chuki inakuumiza wewe zaidi akati unaowachukia wanadunda tu na kunywa coke zero!!!
 
nimehisi hivyo sababu wewe sio wa kwanza kuwa na hali hiyo.. ila cha kukushauri.. hiyo hali itaisha na utakuja kupendwa na mtu mapenzi yale yale uliyompenda wa mwanzo..!!!
vuta subira..!
Sijui kama itatokea nawachukia jmn..,.......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…