Dawa ya babu inanitesa

naogopa kukujibu ili kulinda personality yangu. Ila kwa ufupi tu na kwa jinsi ulivyojibu against yo rubbish posts, Sina uakika kama akiri zako zinajaa kile kijiko kidogo cha sukari!!!

Kheee.....

Akiendelea kukubishia unajua pa kunipata niamshe nimwite ziraili afanye yake.
 
Usishangae utakapoanzwa kuombwa na nyuma sasa..!!
 
Acha kumeza wwe kila unachoambiwa,thread zingine huwa tunavaa uhusika wa watu wengine ili tuweze kuwasaidia,na tabia kama hiyo yako nitabia ya umbea,ni kazi ambayo haina malipo,usidadie treni kwa mbele!

mnavaaga uhusika wa kujifagiliaga tu!..siku ukivaa uhusika wa shoga nitag fwasta!..
 
Ulidanganywa wanawake huwa hawakatai mwanaume akitongozwa na mtu kwa moyo wote, ulikuwa mwoga babu akakudanganya ukaamini na kutongoza bila woga .je na dada yako ulimtongoza ?iweje dawa ya kutongozea iweya kutongozwa wewe hata na ndugu ? Ndiyo maana mnaua maalibino !
 

mkaze dada yako ndo kikomo cha hiyo dawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…