Dawa ya babu inanitesa

We acha chai zako...juzi kati si ulikuwa unatafuta mademu ww...mtaan kwako unashindwa mpaka unatafuta wa mtandaoni .....sio ww??
 
Wewe dogo hizo fiksi zako waambie wadogo wenzio maana maelezo yako yanaonesha kuwa ni lazima uanze kumtongoza msichana kwanza ndiyo akubali sasa hiyo ya dada yako kukupenda mbona ipo kinyume? Yaani hujamtongoza bali yeye ndiye anakutamani.Njia ya muongo ni fupi, waswahili walisema.
 
We acha chai zako...juzi kati si ulikuwa unatafuta mademu ww...mtaan kwako unashindwa mpaka unatafuta wa mtandaoni .....sio ww??

huyu dogo anazingua, na story yake ya kutunga ...........
 
Mwanzo ulienda kwa 'babu' sasa inabidi uende kwa 'bibi' eti eeeeehhhh?
 
Mambo ya Shetani lazima yaendane na ushetani shetani tuu.
 
Hiyo dawa naifahamu. Sasa inakaribia kufika mwisho wake. Ukimlamba huyo dadako ndiyo mwisho wake. Baada ya hapo usitegemee kupata warembo ovyoovyo tena maana sasa umechakaa. Na kama hujachugua wa kuoana naye, utakuwa na kazi kubwa ya kumpata
Jamani nimecheka ulichomuambia hadi mbavu zinauma jf noma sana.
 
mambo yatakua magumu pale ukirudi kwa babu akakumbia ili dawa ipoe au kuisha inabidi utimize agizo la sheria mpya huko marekani ambayo africa wengi hatutaki kabisa kuisikia...hehehe polee 😛oa
 

natamani na mimi ningeipata je nitaipataje
 
Tubu na kuiamini Injili! Ukiombewa hiyo dawa itaisha nguvu. Kumbuka kuna magonjwa usijisifu kwa kutembea na wanawake ukasahau kuwa kuna UKIMWI
 
Jamani fukunyueni posti zingine za huyu dogo wa matombo maana kazidi na stori zake za uongo Tyta
 
Last edited by a moderator:

We pimbi kweli,jf ni sehemu ya kupunguzia stress,hasa kwenye jukwaa la mahusiano,inshort sija jizungumzia mmi nimechukua uhuska wa mtu mwenye hayo matatizo ili niweze kumshauri,usikariri wwe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…