Dawa ya Aspirin inapatikana wapi?

Jacobus

JF-Expert Member
Mar 29, 2011
4,093
2,000
Wakuu, jana nimepitapita kwenye maduka hapa Dar nikitafuta dawa ya Aspirin lakini nikaonekana kituko. Najiuliza ni kipi kimepelekea dawa hiyo kutopatikana madukani?
 
Asprin

JF-Expert Member
Mar 8, 2008
61,816
2,000
Ana jinsia ya +ME, halafu anaonekana kazaliwa kabla ya Tanganyika kubadili jina lake na kuitwa Tanzania.
Basi sina msaada wowote kwake. Apambane tu na hali yake

1568998234613.png
 
SameLOVE

New Member
Sep 8, 2019
3
45
Wakuu, jana nimepitapita kwenye maduka hapa Dar nikitafuta dawa ya Aspirin lakini nikaonekana kituko. Najiuliza ni kipi kimepelekea dawa hiyo kutopatikana madukani?
juniour aspirin kanunue zipo madukani kibao usiseme aspirin
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom