Habari wakuu! Nisaidieni mwenzenu, nimetumia dawa za hospitali za kutibu amoeba naona hazinisaidii sana. Naomba kwa anayefahamu dawa za asili (herbal medicine) za kutibu amoeba anijulishe. Asanteni
Duh,
Sikuhizi kila mtu daktari, mambo ya mtandao.
Ila nadhani huna tatizo la amoeba, maana amoeba hawawezi kuresist dawa alizotaja mkuu hapo juu.
Kapime upya.
Habari wakuu! Nisaidieni mwenzenu, nimetumia dawa za hospitali za kutibu amoeba naona hazinisaidii sana. Naomba kwa anayefahamu dawa za asili (herbal medicine) za kutibu amoeba anijulishe. Asanteni
Huwa nasikitishwa sana na hizi hospital za mtaani na vipimo vyao feki. Kwa taaluma mimi ni Health lab scientist kama bado hujapata ufumbuzi wa tatizo lako nitafute nikusaidie kwa vipimo.