Dawa tosha kwa wanawake wapenda pesa

tafuta faranga kijana la sivyo kila demu mzuri mjini utamuita shemeji na utahusika sana na sabuni shauri yako we lete ubahiri wako.
 

kwahio wewe una maisha mazuri sana, kapoteza bahati??!!
 
jifanye bahili hivyo hivyo utaishia kununua sabun kwa mang
 
kuna mmoja mi nilimtoa out, katika mazungumzo yetu akaniuliza kazi yangu nikamwambia nauza duka la muhindi.
toka siku hiyo alikata mawasiliano na nikimpigia hapokei.

siku moja alipata shida akafika ninapofanyia kazi ili atatuliwe shida yake.
hamadi anakutana na mimi ndio ninayemhudumia. alipoondoka akanitumia msg ‘Baadaye tunaweza kuonana? nilikuwa nakutafuta siku nyingi!!'
sikumjibu ila nilipoona anaendelea kunisumbua ikabidi nimpe makavu
 
Kama ulitaka awe mke mpotezee tu mkuu.....ila km ulitak kwa ajil ya hit en run....umefanya kosa mkuu, usirudie tena!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…