Kuna mwanamke mmoja nilikuwa naye kwenye mahusiano ila hakuwa ananijua vizuri sasa siku moja nikasema ngojea ni mjaribu nikamwambia kuwa mimi nina maisha magumu.
Basi ghafla tu yule girl akakata mawasiliano na mimi sababu nilipo mwambia kuwa nina maisha magumu yeye alinijibu kuwa nimwambie ukweli asije jutia. :hand::hand:
mm nilikuwa na mjaribu tu nijue kma ana penda pesa au
mm nilikuwa na mjaribu tu nijue kma ana penda pesa au
Kwahiyo pesa unayo?
Sijaelewa hapa
mm nilikuwa na mjaribu tu nijue kma ana penda pesa au
Nani hapendi pesa duniani hapa???
Mimi hapa sizipendi kabisa pesa, ila nazitaka!